Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,135
- 9,628
Hawa watu wamechanganyikiwa, vyuoni Kuna upungufu mkubwa wa wanafunzi, kuna wanafunzi wengi hawajaripoti vyuoni, mpaka vyuo vimeanza kuwapigia simu kuulizia kama ni wazima.
Vyuoni now kila siku semina ,kuwashawishi vijana wasiandamane, Sasa wamepanga tarehe 8/12 wataweka curfew vyuoni na D9 wataweka completely lockdown.
Vijana ikifika tarehe 07/12 ondokeni vyuoni.
D9 lazima kiwake.
Aione
Nassoro Katuga
Jaji Mtungi
J4 Muliro
Mto wa mbu
Illinois-USA