Sawa tuMchina anauza yebo pea mbili kwa machinga .kweli?
Sawa tuMchina anauza yebo pea mbili kwa machinga .kweli?
Wachina pigeni kazi, msiogope majungu ya Watanzania wavivu. Wao wamejaa maneno tu, bei kubwa na kustarehe baada ya kuuza kidogo tuMkuu kitu kama hujui ungenyamaza Tu
Hivi bakhresa anaezalisha ngano alianza kuuza chapati nyumba kwa nyumba huoni kuna madhara kwa watu maelfu wanakouza chapati
Mchina ana kiwanda yeye auze kwa agent .agent auze kwa mtu wa jumla .yaani kinachotakiwa ni biashara ifate mkondo wake.wala winga hausiki hapa
Tatizo huku mna wivu na matajiri WA kariakoo
Wamejaa tamaa. Yaani nyuzi zote hizi zinaongelea maslahi ya wafanyabiashara na sio maslahi ya wanunuzi.Wafanya biashara wa kibongo ni wahuni bidhaa ya 12k unauziwa 35k. Risiti hawatoi na hata wakitoa ni za magumashi Acha wachina watupe unafuu ya maisha. Tumechoka na mawinga wa kariakoo
Serikali?Haiwezekani Kariakoo wachina wanaishi kama kwao.
Mbaya zaidi hawalipi kodi ipasavyo. TRA haina kanuni za asiye raia kulipa kodi kama mzawa
Hii ni sawa tu na kusema Kariakoo imeuzwa
Ukiangalia kwa karibu mawinga wasio na mitaji ndio wanaolalamika sababu wateja wanachukua direct kwa wachina kwa bei kitonga. Mchina hatoi mali bila cash😁Kwani lazima wote mkae kufanya umachinga Kariakoo? Kwanini msiende kulima mabonde na misitu yenye rutuba yako ya kumwaga.
Ila mumeona kukaa Kariakoo na kufanya uwinga ndiyo jambo la maana
Awalipi kodi?Wachina ni janga kubwa sana Serikali inabidi ichukue hatua haraka sana hasa kokote kule kwenye wachina Kariakoo, pale Ubungo jengo kubwa jipya, hawa wachina ni watu hatari sana na wataua uchumi wa nchi yetu na wananchi kupoteza biashara zao..!! Kuna wachina pia walitoka Mombasa wako Dar, wanajenga majengo, ni hatari sana, pia TIC waangalie wawekezaji wa kichina ni wahuni kwani anakuja mmoja ana dollar say $100,000 anajisajili mmoja kama investor kumbe wako wachina 100 ndio wamejichangisha..
Wachina wachukuliwe ni hatari kubwa kama Corona kwa uchumi wa nchi yetu, wachina wote Serikali iwafuatilie, iwe kama janga la Taifa, hasa Kkoo itapotea kabisa na wananchi wetu watapoteza biashara zote.
Hapo ndipo walanguaji wa kibongo wanapoumia,mfano citi store pale,ukiingia kila utakachokikuta ndani elfu 3Waacheni wazee wa buy one get two
Winga haumii chochote mkuu .wanaoumia ni wafanyabiashara wenye mitaji mkubwaMawinga ndo wanaumia sahizi wala sio wafanyabiashara wenye mitaji mikubwa.
Hao wabishi achana nao, na wanadhani hawatofikiwa.Mkuu kitu kama hujui ungenyamaza Tu
Hivi bakhresa anaezalisha ngano alianza kuuza chapati nyumba kwa nyumba huoni kuna madhara kwa watu maelfu wanakouza chapati
Mchina ana kiwanda yeye auze kwa agent .agent auze kwa mtu wa jumla .yaani kinachotakiwa ni biashara ifate mkondo wake.wala winga hausiki hapa
Tatizo huku mna wivu na matajiri WA kariakoo
Na utadhani hawa wafanyabishara wabongo wanolalamika.ni walipa kodi wazuri Hamna kitu ninwezi tu. mi kariakoo napaelwa vizuri sana customer care ya wachina ni nzuri afu ni wa wazi hakuna konakona.Wamejaa tamaa. Yaani nyuzi zote hizi zinaongelea maslahi ya wafanyabiashara na sio maslahi ya wanunuzi.
Mchina anarahisisha maisha, waleta nyuzi wanataka maisha yawe magumu
Hii inaongeza cost zisizo na msingiMkuu kitu kama hujui ungenyamaza Tu
Hivi bakhresa anaezalisha ngano alianza kuuza chapati nyumba kwa nyumba huoni kuna madhara kwa watu maelfu wanakouza chapati
Mchina ana kiwanda yeye auze kwa agent .agent auze kwa mtu wa jumla .yaani kinachotakiwa ni biashara ifate mkondo wake.wala winga hausiki hapa
Tatizo huku mna wivu na matajiri WA kariakoo
Thibitisha kauli zako kuwa wameinunua na hawalipi kodi?Haiwezekani Kariakoo wachina wanaishi kama kwao.
Mbaya zaidi hawalipi kodi ipasavyo. TRA haina kanuni za asiye raia kulipa kodi kama mzawa
Hii ni sawa tu na kusema Kariakoo imeuzwa