Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 21,907
- 45,077
TRA inatangaza kuvunja rekodi kila mwaka kwa hawa walipa kodi usiwabeze mazee..Tena ikiwezekana wachina wake kwa wingi sana kufanya biashara serikali ipate Kodi nyie Wachache mnaolalamika ni wakwepa Kodi.serikali tunataka maendeleo siyo blaa blaa. Safi sana wachina changamsheni akili za hawa mabongolala