Hadi dakika za majeruhi bado ni bila bila.....mtanange huu utaamliwa na matuta baada ya 30 za nyongeza.Tayari /bado...?
Hadi dakika za majeruhi bado ni bila bila.....mtanange huu utaamliwa na matuta baada ya 30 za nyongeza.Tayari /bado...?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]7 digits ishasoma
Hapa nkichelewa tu bank teller mage atanipigia aniulize
Spider leo huji kuzikomba tujimwae mwae
Alaf baada ya week hua hapokei simu
Aging process!FaizaFoxy I did not expect this language from you. Nini mbaya na wewe leo?
We ni jino Kwa jino😁Usijali, sipigwi kofi shavu la kushoto nikageuza na la kulia.
Huna akili unajua kuchangia mada za dini tu hapa upo kapa...Siyo kweli, mpaka uishe mwezi May kama mishara haijatolewa ndiyo itakuwa imechelewa.
Mwaka jana pia mwezi May watu walipata mshahara wa daraja jipya...hizo kanuni za bajeti hadi isomwe hazina mashikoNi huu au wa sita? Wanapandisha kabla bajeti kuu haijasomwa? 😱😱
Huna akili unajua kuchangia mada za dini tu hapa upo kapa...
Kama mtu alipewa salary tarehe 20 April mwezi unakamilika lini?
jama hawa watumishi watasave nn kwa mshahara wanaopewa.kama wabunge tu wanashindwa kulipa kodi za nyumba za CDA je watumishi watafanyaje.wao wanaishi kwa kukopa kwenye amduka ya akina mangi.Akili za waajiriwa hizi, no savings, nothing
Mwezi februaryLini salary iliwahi kulipwa 19? Sema umeishiwa 😁😁
😲😲😲😲 labda kwako tuMbna tayari imeingia mida hiyohiyo ya saa4
Kama wanatoa tarehe 30 ijulikane ni 30 sio mzunguko uwe tofauti,Kwa mfano mwezi huu ukisema uende Hadi mwishoni watu watakuwa wamepitiliza zile siku 30Siyo kweli, mpaka uishe mwezi May kama mishara haijatolewa ndiyo itakuwa imechelewa.
Siku 34Mikwala ya kulipa mshahara tarehe 19 Leo hadi 23 kimya tu
Kwahiyo unashindana na Mimi Mlipaji Wao Mkuu au? Sasa kwakuwa Umenikera sasa Walimu na Police sitowalipa tena Ijumaa tarehe 26 na Jumamosi tarehe 27 na sasa nitawalipa tarehe 7 ya Mwezi ujao ( June ) sawa?Nchi hii USALAMA WA TAIFA ndio watumishi wa mwisho kulipwa mshahara, hawa hulipwa kuanzia tar 25 hadi 26.
POLISI
JWTZ
MAGEREZA
UHAMIAJI
ZIMAMOTO
WAALIMU
WAHUDUMU WA AFYA
Hawa hutangulia kulipwa na hii ni kutokana na kuwa ni kada ambazo zimejaa watu wasiona na uvumilivu hasa wa kifedha.
TunategemeanaHela zetu huku kkoo za biashara tumegoma kuwapa tra tumefunga maduka,unafikiri Hela watatoa wap za kuwalipa..nyie watumwa bila sis wafanyabiashara mtakufa njaaa!!!
Inafikirisha sana...inapofika mshahara ukaonekana kama "kete" kwa "Teja". Kete ilichelewa kidogo alosto si ya nchi hii!!! Kete ilionekana nikuwa kama mtoto amepata ziwa la mama baada ya kulia njaa muda mrefu!!! Hii ni hatari sana.....kwa mshahara wanaopewa....