Ngoja nikatoeMshahara tayari
Sure?Mshahara tayari
Nasikia zimenunuliwa tiketi elfu 5...Mlikuwa mnashangilia magoli ya Yanga...sasa mtakiona.........tumesitisha mishahara mpaka baada ya fainali ya CAF tusijekosa hela ya Mayelle
Nshahara sahihi mshahara huko vyuoni mlijifunza ujinga?Kwani unaliopwa ni Mshahara wa nwezi gani?
Kwa akili hizo zako za kudhani kila mmoja ni muongo ndiyo zinakuoelekea unajidanganya kuwa mwisho wa mwezi umefika.
Kulipwa nshahara kabla ya mwezi kukamilika ni kuenziwa tu lakini si lazima. Msijidanganye.
ThibitishaMshahara tayari
Saving zipi unazungumzia mkuu kila mwezi zinakatwa fedha kwenye mishahara kwa ajili ya saving au unamanisha nini?Akili za waajiriwa hizi, no savings, nothing
Hawa ni jobless.Saving zipi unazungumzia mkuu kila mwezi zinakatwa fedha kwenye mishahara kwa ajili ya saving au unamanisha nini?
Ndizo hizo zinanunua magoli hukokila mwezi zinakatwa fedha kwenye mishahara
Hahahaha...hiyo mechi inahairishwa itaendelea kesho[emoji23]Mpaka Sasa ubao unasoma bila bila dakika 30 zimeongezwa pale
Mechi itaharishwa kutokana na hitilafu za nguvu ya umeme hapa taifa [emoji23][emoji23][emoji23]Saa 12 na nusu jioni hii mechi itakuwa imeisha