Mpatuka
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 2,334
- 3,729
Kwani ukinilipa tarehe 22 Kisha mwezi ujayo ukanilipa tarehe 22 hapo utakua umenienzi au umenilipa baada ya siku 30 ama 31 zinazokamilisha mwezi?Kwani unaliopwa ni Mshahara wa nwezi gani?
Kwa akili hizo zako za kudhani kila mmoja ni muongo ndiyo zinakuoelekea unajidanganya kuwa mwisho wa mwezi umefika.
Kulipwa nshahara kabla ya mwezi kukamilika ni kuenziwa tu lakini si lazima. Msijidanganye.