Serikali imechelewa kulipa mshahara wa mwezi Mei

Serikali imechelewa kulipa mshahara wa mwezi Mei

Naona kimya kama hakuna lilolo tokea vile

Mikwala ya kulipa mshahara tarehe 19 Leo hadi 23 kimya tu

USSR

Hongera Sana mkuu ,kumbe ni muajiriwa wa serikali? Una haki ya kuwatetea aisee!!
 
Wanajeshi na Watu wa Usalama wameingiziwa tokea Saa 5 Asubuhi ya leo na Walimu na Police wao waendelee Kuvumilia wataingiziwa Ijumaa tarehe 26 au Jumamosi tarehe 27.
Acha uongo pambana na msiba wa mkono kwanza

USSR
 
Naona kimya kama hakuna lilolo tokea vile

Mikwala ya kulipa mshahara tarehe 19 Leo hadi 23 kimya tu

USSR
Labda bado wanajazia jazia ili kila mtumishi acheke mwezi huu...
 
Back
Top Bottom