Serikali imechelewa kulipa mshahara wa mwezi Mei

Serikali imechelewa kulipa mshahara wa mwezi Mei

Kwani unaliopwa ni Mshahara wa nwezi gani?

Kwa akili hizo zako za kudhani kila mmoja ni muongo ndiyo zinakuoelekea unajidanganya kuwa mwisho wa mwezi umefika.

Kulipwa nshahara kabla ya mwezi kukamilika ni kuenziwa tu lakini si lazima. Msijidanganye.
Wewe rais akiwa mfuga majini basi huambiwi lolote

USSR
 
Kwani ukinilipa tarehe 22 Kisha mwezi ujayo ukanilipa tarehe 22 hapo utakua umenienzi au umenilipa baada ya siku 30 ama 31 zinazokamilisha mwezi?
Huyu yupo madrasa msamehe

USSR
 
Back
Top Bottom