tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 21,852
- 18,264
Inawezekana labda ni warabu ndio wamemshinikiza aweke dini kwenye elimu maana tangu warabu wa DP World waanze kushika nchi, naona mambo mengi yamekuwa na mwelekeo wa kiislamu na kiarabu. Ipo siku tutaamka tutakuta nchi nzima imesilimishwaKwa kuona mbali, kutaanza kuwa na ajira za kidini dini kutokana na masomo ya kidini.
Tunaanza kutaga mayai ya machafuko huko mbele ya safari.
Hili lipingwe kwa nguvu zote.