Serikali imeanza kuingiza udini katika sera zake? Suala la masomo ya kiislamu na Divinity yanatoka wapi?

Serikali hii awamu ya 6 waachane na kurekebisha mfumo wa elimu maana hawana nia nzuri. Kuna watu wanafikiri kufa magufuli wamepata ushindi na ili kuua fikra za kimagufuli ni kupitia elimu. Awamu hii waache mpango kama walivyoukuta. Hebu fikiri combination zaidi ya 60 ni za kazi gani. Mimi sio mtaalam wa elimu lakini inatustaajabisha. Hasa pale tunaona combination za masomo ya dini mambo ambayo ni imani za watu binafsi. Katiba yetu hairuhusu serikali kujihusisha na mambo ya dini yeyote ile.
 
Una argument za kitoto na kijinga sana. Kukujibu wewe ni kupoteza muda tu.
 
Shule ilikuwa ya baba'ko?
 
Shule ilikuwa ya baba'ko?
Kuelimisha mwanamke tena mwanamke mpumbavu kama wewe ni shida ndiyo maana huwa nawaunga mkono wataribani kwa kuzuia elimu kwa wanawake ilitakiwa muishie shule za msingi tu na kufundishwa stadi za kazi za nyumbani kama mapishi na usafi basi ..kama hapa nakupa elimu na unapojua ukweli unajaribu kufumba macho mwana haramu apite
 
Kamuulize mzazi wako, basi watoe ya mziki maana wengine hawataki ,watoe ya science wengine hawataki hata hesabu wengine hawataki.

Mambo hayakuhusu ,kuna sehemu umelamizimisha kusoma?
Io dini anaenda apply wapi? Mbinguni? Waweke na soma la uganga basi
 
Sasa hutaki Viongozi wa BAKWATA wa badae wasomi?si munalalamika upande wapili wengi ni Doctoral!!
 
Kwa kweli Mama Samia inabidi aachie ngazi tu, huu ni ujinga wa kupitiliza........mambo ya Kiarab au Uislam unatuhusu nini sisi kama taifa?
 
Watanzania bhana.

Kuna watu wanazani hii nchi wao wanaumuhimu kuliko wengine, yani kama kuna jambo linahusu 1% ya watanzania linapaswa kupuuzwa kwa sababu wao haliwahusu.

Hizo combi sio za lazima kusoma, na kila shule hua inachagua combination za kua nazo kulingana na mahitaji ya sehemu husika.

Kuna shida gani serikali, kumsomesha abdalah islamic knowledge, kama ni kitu ambacho yeye kakipenda? Au kuna shida gani mtamzania Petro kusomea Divinity katika shule za serikali kama ni kweli anataka kuja kua gwajima wa kesho.

Kama hii ndo tafsiri ya Udini, basi tuondoe vipindi vya kidini kwenye mitaala ya shule zetu.

Binafsi sio muumini wa mashehe/Wala mapadri, ila hakuna kibaya chochote hapo serikali imefanya kuleta hizo combinations, kama kuna market zitakuepo, kama hakuna market hazitakuepo.

Sisi nakumbuka o level tulikua tunasoma Cookery
, sijui hata ilitusaidia nn ila ndo tulisoma hivyo.
 
Wapagani wao mbona wametengwa
 
Huwa nachukia sana kubishana au kujibishana na watu wenye akili za kikahaba ...wapi nimesema upendeleo ? Mimi nimesema dini zote zisiwepo kwenye mashule ya serikali wala vitu vya kidini visiruhusiwe ...dini ibaki kuwa siri ya mtu binafsi ....zamani wanafunzi walikuwa vizuri tu na hayo mambo ya dini yalikuwa hakuna ....hivyo hijabu ipigwe marufuku mashuleni haraka sana tunataka kuona watoto wetu wakitambuana kama wanafunzi na Watanzania siyo kutambuana kwa udini...yule muislamu huyu mkristo
 
Dini imeleta faida gani tanzania ? Je dini imeleta uhadilifu serikalini au mitaani ? Neno dini maana yake HAKI YA MUNGU JE wanao fuata hizo dini wana thamini haki ...je nini kinafanya dini zisifundishwe sehemu za kidini ...mbona waislamu mnaipingaga bakwata na kusema ni chombo cha serikali siyo cha waislamu sasa imekuaje mnaunga mkono serikali kuhodhi mafundisho ya dini zenu kwa kifupi nyinyi ni wapumbavu mlio tukuka
 
Umekasirika sana!
Samahani sana kwa kukukosea, ni aula sana kufanya mijadala na watu waliokuwa na busara na hekima kubwa kama wewe. Nilidhani kuwa Kuna kundi ambalo limependelewa na wengine wakaachwa kulingana na maelezo yako ya awali na hata haya.Kumbe si hivyo nimekosea nisamehe bure maana matusi siyo uungwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…