Serikali ilegeze masharti ya kupata pasipoti ili watu wakatafute fursa nje ya nchi

Nchi zenye ishu za kijamaa huwa na tabia ya kufungia watu kama watumwa au jela. Unafikiri kwanini walijenga ukuta wa Berlin. Inabidi tuachane na sera ya ujamaa. Sheria zetu na kodi na mipango na kanuni vinaongozwa na hiyo sera. Ni zimwi lisiloonekana.
Korea ya kaskazini. Cuba na China kwenyewe.
 
Masharti ya kupata passport inatakiwa tu kitambulisho cha uraia zingine zote mbwembwe za kusumbuana tu sijui barua ya mwaliko sijui nini ujinga mtupu. Kwani mtu hawezi kwenda nchi nyingine kutafuta fursa hata kama hana mwenyeji?

Ona huyu kijana Mtanzania mwenye mgahawa China akipiga kazi baada ya kuona fursa China. Uhamiaji acheni ubahili wa kutoa passport.

Kweli passport kila mtu anapaswa awe nayo standby.
 
Nchi zenye ishu za kijamaa huwa na tabia ya kufungia watu kama watumwa au jela. Unafikiri kwanini walijenga ukuta wa Berlin. Inabidi tuachane na sera ya ujamaa. Sheria zetu na kodi na mipango na kanuni vinaongozwa na hiyo sera. Ni zimwi lisiloonekana.
Maajabu hayataisha, Mbabu wali lia kwenda Ulaya kutumikishwa, leo watu wanalilia kwenda kutumikishwa Ulaya, lakini hawaruhusiwi kuondoka nyumbani kwenu!
 
Back
Top Bottom