Hii nchi ni masikini tu ,tena masikini wa kutupwa wanaoshindia mlo mmoja ..Lazima kutambua wakati wote benki ya dunia ni benki tu kama zingine kipaumbele chake ni faida. Wenye hisa wakubwa ni marekani na nchi za ulaya. Kwa mfumo wa kibepari wafaidika namba moja na benki ya dunia ni mabepari wakubwa wa nchi hizo
Sahihi
Anakopa ili awagawie pesa?Raia hatuna pesa ngoja akope ziongeze mzunguka ndio akusanye kodi, hatushi reli, bwawa, wala busisi, napita tu na cheko la upako wa asubuhi
Atusaidie basi ili wote wanaostahili kulipa kodi wakiwemo wabunge na yeye mwenyew walipe kodi.Mama samia kopa ,kopa hasa ,leta wawekezaji maisha ni magumu sana ...
Achana na hao manyang'ao wanaosema nchi ni tajiri ..
Wanao shangiliaga serikali ikomae na kodi, wengi ni wala kodi, siyo walipa kodi! Labda Wewe ni mbunge unataka sisi tukamuliwe, Wewe ule kwa urahisi!Lazima kutambua wakati wote benki ya dunia ni benki tu kama zingine kipaumbele chake ni faida. Wenye hisa wakubwa ni marekani na nchi za ulaya. Kwa mfumo wa kibepari wafaidika namba moja na benki ya dunia ni mabepari wakubwa wa nchi hizo...
Mwalimu wangu wa uchumi alipenda Sana kutoa mfano huu.Kodi ipi wakati Ng'ombe mshawakamua bila kuwapa majani sasa wamekonda
Maziwa mtapata wapi tena.
Na mwendazake ndie aliye kopa kuliko Marais wote!! akawa ana danganya ana hakopideni la taifa 71t
Wewe mwenye akili basi unchango gani zaidi ya kujificha nyuma ya keyboard pambafu.
Lazima kutambua wakati wote benki ya dunia ni benki tu kama zingine kipaumbele chake ni faida. Wenye hisa wakubwa ni marekani na nchi za ulaya. Kwa mfumo wa kibepari wafaidika namba moja na benki ya dunia ni mabepari wakubwa wa nchi hizo.
Kutokana na hivyo nchi changa sio rahisi kupata maendeleo kwa kukopa benki ya dunia kwa vile benki hiyo inataka iwapangie wakope kwa miradi yenye maslahi na nchi kubwa za kibepari na sio kuwaletea wananchi maendeleo.
Kuna kila dalili ugonjwa wa covid 19 umeundwa kama fulsa kubwa kwa mabepari wa madawa ya binadamu marekani na ulaya kutengeneza fedha.
Fulsa pia imechukuliwa na mabepari wa kigeni na wenyeji kutengeneza mahitaji yasio lazima kwa umma wa kimataifa kwa kusambaza hofu ili kuuza bidhaa mbalimbali.
Kutokana na hivyo mpango ili nchi kununua bidhaa zao umefungamanishwa na wateja kukopeshwa fedha na mabenki ndio maana benki ya dunia tangu awali ikatenga fedha za kukopesha kwa faida wakiita ni msaada.
Mwendazake Magufuli alijua hila za nchi za mabepari kuendelea kufukarisha nchi zetu ndio maana akawa makini na mwangalifu ili tusiharibiwe au kuhujumiwa maendeleo na ujenzi wa uchumi wetu.
Yafaa Rais Samia awe mwangalifu kurukia mikopo tunayobembelezewa na benki ya dunia. Tukope tu kwa yale yenye manufaa tuliyopanga wenyewe.