Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,495
- 2,252
Nadhani wote tumeona madhara makubwa yaliyoletwa na Warusi kupitia Facebook katika uchaguzi wa Marekani na matatizo makubwa yanayoikumba hiyo kampuni kwa sababu hiyo.
Lakini hapa kwetu wanakusanya data zetu kupitia so called "promosheni" za Facebook Free bila hata ya kutuambia wanachokusanya na siku hizi hakuna hata option za kujitoa unaingia tu Facebook unakutana na ujumbu wao kuwa ni bure, hii sio bure! Wanakusanya data zatu nyingi sana kwa kushirikiana na hii mitandao bila kuweka uwazi wowote, kitu ambacho sio sawa.
Vyombo vya serikali vichukue hatau haraka kabla hatujapata madhara makubwa.