Serikali ichunguze ukusanyaji wa data unaofanywa na Facebook kupitia mitandao ya simu ya Tanzania

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,482
2,226
Nadhani wote tumeona madhara makubwa yaliyoletwa na Warusi kupitia Facebook katika uchaguzi wa Marekani na matatizo makubwa yanayoikumba hiyo kampuni kwa sababu hiyo.

Lakini hapa kwetu wanakusanya data zetu kupitia so called "promosheni" za Facebook Free bila hata ya kutuambia wanachokusanya na siku hizi hakuna hata option za kujitoa unaingia tu Facebook unakutana na ujumbu wao kuwa ni bure, hii sio bure! Wanakusanya data zatu nyingi sana kwa kushirikiana na hii mitandao bila kuweka uwazi wowote, kitu ambacho sio sawa.

Vyombo vya serikali vichukue hatau haraka kabla hatujapata madhara makubwa.
 
Kwa mfano wewe wakikusanya data zako zitawasaidia nini mkuu?
 
Unajua kwa Afrika hususan Tanzania bado awareness ni ndogo kuhusu issues za privacy sanasana cyber...what Mark does is selling your private data to the highest bidder, even if he claims otherwise...
Tena mbaya zaidi ni kuwa hata kama haupo Facebook.so long as unatumia internet ana data zako and you can do nothing about it
 
Tatizo ni kupenda vya dezo. Kwanini ujisajiri kwenye tovuti usiyoijua?
Nadhani wote tumeona madhara makubwa yaliyoletwa na Warusi kupitia Facebook katika uchaguzi wa Marekani na matatizo makubwa yanayoikumba hiyo kampuni kwa sababu hiyo.

Lakini hapa kwetu wanakusanya data zetu kupitia so called "promosheni" za Facebook Free bila hata ya kutuambia wanachokusanya na siku hizi hakuna hata option za kujitoa unaingia tu Facebook unakutana na ujumbu wao kuwa ni bure, hii sio bure! Wanakusanya data zatu nyingi sana kwa kushirikiana na hii mitandao bila kuweka uwazi wowote, kitu ambacho sio sawa.

Vyombo vya serikali vichukue hatau haraka kabla hatujapata madhara makubwa.
 
Nadhani wote tumeona madhara makubwa yaliyoletwa na Warusi kupitia Facebook katika uchaguzi wa Marekani na matatizo makubwa yanayoikumba hiyo kampuni kwa sababu hiyo.

Lakini hapa kwetu wanakusanya data zetu kupitia so called "promosheni" za Facebook Free bila hata ya kutuambia wanachokusanya na siku hizi hakuna hata option za kujitoa unaingia tu Facebook unakutana na ujumbu wao kuwa ni bure, hii sio bure! Wanakusanya data zatu nyingi sana kwa kushirikiana na hii mitandao bila kuweka uwazi wowote, kitu ambacho sio sawa.

Vyombo vya serikali vichukue hatau haraka kabla hatujapata madhara makubwa.
Huku kwetu haina effect yoyote. Data zangu kwenye biashara zitawasaidia nini na uwezo wa kununua kitu huko FB sina.
 
Je na wale ambao wamefungua acount lakini hawajaandika chochote au kurushia chochote wanazipataje hizo data
 
Siongelei data unazopost facebook tu, naongelea data wanazozifahamu kampuni yako ya simu kwa mfano Vodacom wanazoweka kushare na Facebook i.e. namba yako, namba unazopiga, upo wapi (location), unatembelea tovuti gani zengine etc. Kama nilivyosema hawapo wazi wanashare kitu gani kwa hiyo ni vigumu kujua data hizo ni zipi.
 
Kwahyo wewe ulitaka upewe pesa na facebook au serikali wazuie?
Sijasema nipewe pesa wala wazuie, cha muhimu ni wachunguze ni data gani wanapeleka huko na nini madhara yake kwa taifa, kisha hizi kampuni zilazimishwe kuwa wazi ni data gani wanakusanya na wanafanya nazo nini. Pia kuwa na njia rahisi kwa watu kukataa kuingizwa kwenye mfumo huo, isiwe automatic.
 
Sisi tusiokuwa facebook tunakomentia wapi
Ndo hapo uelewa mdogo unapoleta madhara. Hauhitaji kuwa na facebook ili facebook waweze kukusanya data zako, kwanza rafiki yako yoyote mwenye facebook anaashare data kuhusu wewe na facebook kwa kuwa wanaweza kupata access ya namba anazopiga na adressbook yake kama una app yoyote ya Facebook. Pia unapotembelea tovuti yoyote iliyoweka like button za facebook au comment system ya facebook zote hizi zinatumika kunyonya taarifa kuhusu wewe, facebook wana "shadow profiles" kwa mtu yoyote ambaye amewahi kutembelea site za namna hiyo na hana account ya facebook.

Pia kumbukeni Facebook wanamiliki app na tovuti kibao, WhatsApp, Instagram, Messenger zote hizi ni mali ya kampuni ya Facebook na wanakusanya data hizo zote sehemu moja.
App zengine wanamiliki kisiri siri, kama App ya VPN ya Onavo ilinunuliwa na Facebook kwa chini chini ili waweze kunasa data za watu, kumbuka ukitumia VPN data zako zote zinapita huko!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom