Nikweli kabisa,akili zimetufunguka Sasa. Nasubiri inshu ya bandari tuone wangapi wataungana na Mimi kutoka katika usingizi mzito wa kupumbazwa na watawala.Alisema lema anawaombea nyinyi wananchi muwe maisha magumu zaidi ili mpate akili ya kufanya mabadiliko
Mkuu upo sahihi sanaTatizo sio toto card wala kuanzisha uchangiaji mpya ili mfuko wa Bima uweze kujiendesha...Kiini cha Tatizo la nchi hii ni siasa, tulipofikia ufisadi na ufujaji wa pesa za umma upo kila sekta, mfano leo tutakuja na bandari kesho ufisadi SGR,kesho kutwa riport ya CAG miaka inakimbia na kwa bahati mbaya hakuna hatua inayochukuliwa zaidi ya kusikia mama yenu kakerwa na matumizi mabaya ya fedha,kilio kile kile vile viburi akina nchemba wamezoea, nothing we can do,tunasahau huu ni mfumo wa zaidi ya miaka 60 huyo sa100 ni kinyago tu hawezi watisha waliomchonga,mateso yatakapozidi watanzania 1 day tutaungana kuitoa sisiem na mizizi yake msoga, waje wengine full stop.
Kila kitu ni DPW. Aliyeanzisha hili la bima itakua ndio ameenda kurenew bima ya mtoto wake ndio maana imevuma sana siku za hivi karibuni. Mbona ni jambo lina muda tangu lipitishwe.Yote hii ni kuwatoa watu kwenye mjadala wa DP World! Tuache kupiga kelele kuhusu waarabu na bandari zetu na tujadili bima. Walianza na katiba ni kijitabu na Sasa wameleta bima. Pumbavu sana!
Eeh ni vyema aambiwe kabisa mada za watu wazima wapuuzi kama yeye hawaitajikiWatu wenye akili wanapojadili mambo ya msingi huna sababu yakuleta uchafu wako.
Serikal haipo kukupa bima ya afya, nchi zote serikali inaweka taratibu tuHakuna haja ya kuwa na serikali ama kuchagua watu kwa niaba yetu ama ya wengine
Swala la bima toka March limefutwa, kuna influencer kakuta bila bila, kalianzisha na kasahau DPWKila kitu ni DPW. Aliyeanzisha hili la bima itakua ndio ameenda kurenew bima ya mtoto wake ndio maana imevuma sana siku za hivi karibuni. Mbona ni jambo lina muda tangu lipitishwe.
Mtoto ni 120K kutoka 50400 na lazima awe tegemezi kwa mzazi la sivyo akatiwe shuleni 50400.
Mkuu umesoma maneno wa waziri wa afya ummy Mwalimu...Swala la bima toka March limefutwa, kuna influencer kakuta bila bila, kalianzisha na kasahau DPW
Mkuu upo sahihi sana kwa mtazamo wako. Kiuwalisia mambo hayapo kama unavyo sema.Mie naona hili swala la Bima litafutiwe MWARUBAINI..
Tujitahidi pia kuwa Serious na MAISHA.
120K sawa sawa na sh.343 kwa siku hiki kiwango ni cha kawaida sana isipokuwa kwa wale MAFUKARA waliopitiliza yaani wanaoishi chini ya DoLa moja kwa siku.
Tujiulize bila unafki je unashindwa kuwekeza tsh 343 kwa siku kama Bima ya Mwanao?
Serikali iwe na uadilifu tu ktk matumizi ya haya makusanyo litakuja kufa jitu wakati wa Uchaguzi wasipokuwa makini.
Sawa, sasa mtu unazaa watoto 8 unategemea yule aliyezaa watoto 3 akuchangie na ww uliyezaa hao 8.. unaona kuna usawa hapo kweli?Mkuu upo sahihi sana kwa mtazamo wako. Kiuwalisia mambo hayapo kama unavyo sema.
Tuje kwenye field kwenyewe; familia Ina watoto wangapi,bila kusaahu familia nyingi za hali ya chini ndiyo zinaongoza kuzaliana. Hii yote tunatumia tendo la ndoa kama ni sehemu ya kupungizia stress,na ukija kutahamaki Abdul,Samia amekwisha ingia.
Je,unahisi nitaweza kugharamia dawa za kutoa mimba. Kwahiyo Sasa nitakuwa wakina Abdul's watakuwa wanakuja asubuhi na jioni.
Hapo Bado sijakata bima ya mama yao Wala ya kwangu na Wala hapo sijakata bima ya Bibi na Babu yao ambao wamefikia umri wa maradhi kuwatembelea mara kwa mara.
Vipi umepata picha kwani tunaomba huu mzigo bima ungeangaliwa kwa mapama yake.
Gharama za matibabu ni kubwa mno, haziwezi zikawa covered na tozo za miamala.Yani ni mara elfu wangeweka bima ya afya iwe bure kisha waingize tozo ya bima kwenye line za simu. Walau hapo wangekuwa wamefikiria kikubwa.
Maumivu ya Tozo yangekuwepo ila mtu akienda hospitali anapata huduma bure bila kuchajiwa haileti ukakasi. Kupitia tozo za miamala serikali ilikuwa ina raise hela ya kutosha sana kwa mwaka kuliko hizo rates za kinyonyaji. Sijui wamefikiriaje ila kama matibabu yakiwa kupitia tozo za miamala.
Jiunge na Strategies wao 230,000 ni wewe, mwezi wako na watoto 4.
Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app