Execute JF-Expert Member Sep 21, 2022 3,000 7,291 Mar 2, 2024 #1 Ni jambo la uhakika kwamba sasa hivi serikali imepata ongezeko la takribani milioni 10 aliyokuwa analipwa hayati Mwinyi. Napendekeza waajiriwe madaktari watano ili kuhudumia wananchi kutokana na hospitali binafsi kugomea bima ya afya.
Ni jambo la uhakika kwamba sasa hivi serikali imepata ongezeko la takribani milioni 10 aliyokuwa analipwa hayati Mwinyi. Napendekeza waajiriwe madaktari watano ili kuhudumia wananchi kutokana na hospitali binafsi kugomea bima ya afya.
Mr Q JF-Expert Member Aug 16, 2012 16,254 33,743 Mar 2, 2024 #3 Tunataka tupitishe watoto wa viongozi nao walipwe pensheni kaa kwa kutulia
Mama Edina JF-Expert Member Dec 18, 2022 750 1,824 Mar 2, 2024 #4 Hili la ku control nhif linatokq wapi
RUSTEM PASHA JF-Expert Member Jan 26, 2016 3,603 8,553 Mar 2, 2024 #5 Watoto wa viongozi waendelee kulipwa stahiki za wazazi wao pindi wanapofariki.😅😅 Hii nchi hii ndio maana wanajisemea ukiweza kwepa kodi we kwepa.
Watoto wa viongozi waendelee kulipwa stahiki za wazazi wao pindi wanapofariki.😅😅 Hii nchi hii ndio maana wanajisemea ukiweza kwepa kodi we kwepa.
Mufti kuku The Infinity JF-Expert Member Sep 21, 2019 5,705 8,963 Mar 2, 2024 #6 Mijitu mipuuzi inawazaga ujinga asubuhi asubuhi
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 120,135 143,370 Mar 2, 2024 #7 Mambo ya serikali hayaendi hivyo... Cc: Mahondaw
Mahondaw JF-Expert Member Apr 9, 2013 62,704 157,743 Mar 2, 2024 #8 Smart911 said: Mambo ya serikali hayaendi hivyo... Cc: Mahondaw Click to expand... Serekare haioangiwi lo inafanya ikiamua yenyewe
Smart911 said: Mambo ya serikali hayaendi hivyo... Cc: Mahondaw Click to expand... Serekare haioangiwi lo inafanya ikiamua yenyewe