Serikali iache kudanganya Wananchi, hakuna Elimu Bure

wewe ndo gamba jinga kuliko wote siku magufuli anasema hakuna kutoa michango wanaopinga walikuwepo? wakati kikao cha kupitisha Elimu bure mlikaa mkapitisha kabla ya kuwafafanulia wananchi mkaibuka na Elimu bila michango yoyote kumbe ilikua ni kampeni. acha upumbavu wa kijinga wewe
Tofautisha kati ya michango na mahitaji ya mwanafunzi. Hapa ukitumia akili za Kinyumbu hutoweza kuelewa...Inabidi utumie akili za kibinadamu.
 
SHULE NI BURE HADI FORM FOUR. ! GHARAMA ZA SHULEVZIMEBEBWA NA SERKALI. ILA SIYO ZW KUVAA . KULA MADAFTARI NA KUSAFIRI.. MTOTO NI WAKO ULIYEMZAA. NSNI AKUBEBEE ZOTE WAKATI ANABEBA JINA LAKO ?

Watanzania sisi mambo yetu yanaleta raha sana. Yaani tunataka tuhangaike kutungunga mimba na kujifungua tu. Baada ya hapo tunataka serikali ihusike na makuzi, ustawi na maendeleo ya huyo mtoto anayezaliwa. Hapo hapo sisi wazazi tuendelee kuvunja sheria kwa kujenga mabondeni, halafu serikali ikibomoa hayo makazi hatarishi kwanza itulipe fidia halafu itupatie viwanja vya bure mabwepande.

Hii inanikumbusha watu wa jamii fulani kwenye nchi fulani humu duniani. Wananchi wa nchi hiyo walikuwa wakifanya ngono zembe makusudi kwa lengo la kupata VVU. Wakipima na kujikuta hawajaambukizwa VVU wanakwenda kufungua mashtaka kortini kwamba iweje vipimo vinaonyesha hawajaambukizwa ilhali wanafanya ngono zembe na wenye VVU. Lengo la wananchi hawa ilikuwa ni kusajiliwa kwenye "safety net schemes" kama ambavyo wenye VVU wamesajiliwa.

Ni maajabu kuona Watanzania tunaelekea huku hata baada ya jitihada kubwa kufanywa na watangulizi wa Taifa letu wakiongozwa na Mwl Nyerere. Kwamba safety net ya elimu bure mzazi awe na jukumu la kuzaa tu, halafu serikali itoe 'full package' ya education safety net. Hakika sisi Watanzania mambo yetu yanaleta raha inayokarahisha. Kwa hali hii uchumi wetu bado upo hatua za chini, itakuwaje tukifikia kwenye uchumi wa kati?
 
Tofautisha kati ya michango na mahitaji ya mwanafunzi. Hapa ukitumia akili za Kinyumbu hutoweza kuelewa...Inabidi utumie akili za kibinadamu.
wewe ndo usitumie akili za kimagamba mlipokua mnatembea majukwaani mnatangaza Elimu bure Vila ufafanuzi mlikua mnatumia masaburi? Alafu unaendelea kuleta ujinga eti tofautisha michango na mahitaji wewe kwako kumnunulia mtoto sare ndo mahitaji alafu kumlipia mtoto ada ilikua sio mahitaji?
 
Haya ndio madhara ya kudandia sera ya upinzani wakati kuitekeleza ni vigumu ccm bana ni wajanja sana wacha waisome tu
 
wewe ndo gamba jinga kuliko wote siku magufuli anasema hakuna kutoa michango wanaopinga walikuwepo? wakati kikao cha kupitisha Elimu bure mlikaa mkapitisha kabla ya kuwafafanulia wananchi mkaibuka na Elimu bila michango yoyote kumbe ilikua ni kampeni. acha upumbavu wa kijinga wewe

Ndugu yangu hao watoto huna msaada nao wapeleke tu ustawi watalelewa bureeee
 
Watanzania sisi mambo yetu yanaleta raha sana. Yaani tunataka tuhangaike kutungunga mimba na kujifungua tu. Baada ya hapo tunataka serikali ihusike na makuzi, ustawi na maendeleo ya huyo mtoto anayezaliwa. Hapo hapo sisi wazazi tuendelee kuvunja sheria kwa kujenga mabondeni, halafu serikali ikibomoa hayo makazi hatarishi kwanza itulipe fidia halafu itupatie viwanja vya bure mabwepande.

Hii inanikumbusha watu wa jamii fulani kwenye nchi fulani humu duniani. Wananchi wa nchi hiyo walikuwa wakifanya ngono zembe makusudi kwa lengo la kupata VVU. Wakipima na kujikuta hawajaambukizwa VVU wanakwenda kufungua mashtaka kortini kwamba iweje vipimo vinaonyesha hawajaambukizwa ilhali wanafanya ngono zembe na wenye VVU. Lengo la wananchi hawa ilikuwa ni kusajiliwa kwenye "safety net schemes" kama ambavyo wenye VVU wamesajiliwa.

Ni maajabu kuona Watanzania tunaelekea huku hata baada ya jitihada kubwa kufanywa na watangulizi wa Taifa letu wakiongozwa na Mwl Nyerere. Kwamba safety net ya elimu bure mzazi awe na jukumu la kuzaa tu, halafu serikali itoe 'full package' ya education safety net. Hakika sisi Watanzania mambo yetu yanaleta raha inayokarahisha. Kwa hali hii uchumi wetu bado upo hatua za chini, itakuwaje tukifikia kwenye uchumi wa kati?

Watanzania sisi mambo yetu yanaleta raha sana. Yaani tunataka tuhangaike kutungunga mimba na kujifungua tu. Baada ya hapo tunataka serikali ihusike na makuzi, ustawi na maendeleo ya huyo mtoto anayezaliwa. Hapo hapo sisi wazazi tuendelee kuvunja sheria kwa kujenga mabondeni, halafu serikali ikibomoa hayo makazi hatarishi kwanza itulipe fidia halafu itupatie viwanja vya bure mabwepande.

ha ha haaaaa aaaaaaaaaaa
Umeniua mbavu
 
Sasa ndo umeandika nini? Au Joyce Kiria kakukera leo? Maana sijui kama umeelewa nini umeandika na nini kinaendelea. Hasira zako na mkeo usizihamishie kwenye jukwaa. Unavuruga
Mkuu achana nae huyo, hayo ndo madhara ya kuoa housegirl
 
punguza kiwango chako cha ujinga hakuna aijuae kesho kuna watu wanaoa machangudoa ije kuwa house girl.
Acheni kujifariji hapa, hivi ni katika mazingira gani hasa mpaka uoe changudoa?

Hapa tatizo ni huyo House girl tu, kila mtu anajua.
 
Mimi nimempeleka Mwanangu Mtakuja Primary schoo, kumuandikisha darasa la kwanza, wamempokea, nikawauliza, Je kuna mchango wowote? wakanijibu hakuna, Mwl mkuu akanifafanulia kuwa, Tshirt za kuvaa Ijumaa na Nembo, zikiwa tayari, wazazi tutafahamishwa, tulipie elfu 10 tu, kwa zote!
Huu ni wizi mwingine wa mchana kweupe? T-SHIRT? Za kuvaa ijumaa? Nembo?
 
Back
Top Bottom