Basi una matatizo na uelewa wa falsafa ya Elimu Bure (free education for all) kama ilivyotolewa na UN!
Kwa kukusadidia Elimu bure maana yake ni kwamba Serikali mtoto hatozwi ada ya shule wala michango mingine yote kama Ulinzi wa shule, kulipia mitihani n.k lkn jukumu la kummlea mtoto linabakia kuwa la Mzazi/Mlezi kama vile kumpa chakula, mavazi, maji ya kunywa, kitanda cha kulalia, nyumba ya kuishi, n.k sasa kama pia hauwezi kuyafanya hayo basi nenda ustawi wa Jamii na watamchukuwa mtoto wako kumtafutia wazazi mbadala (adoption) au kumpeleka nyumba ya watoto yatima huko atapata hayo yote!