Serikali iache kudanganya Wananchi, hakuna Elimu Bure

acha umbumbu ww,hakuna mwanafunzi aliyekuwa anarudishwa kwa kushindwa kulipa sh 20000 za ada bali pesa za michango,mfano ambao upo hali,mdogo wangu alitoa pesa kiasi cha sh 70000 ktk shule ya sekondar CHAKARURU iliyoko wilaya ya KARAGWE mkoa KAGERA,alitaka alipie mtihan lakin mkuu wa shule akaipeleka ktk upande wa michango kama umeme,ukarabat,taaluma n.k,akikenga kumfanya mzaza,aumie kutafuta pesa nyingne ili mtoto aweze kulipia mtihan,bahat mbaya zikakosa,mpaka sasa mdogo wangu hana matokeo ya mtihan tangu 2013 alipomaliza 4m4

Duu! maajabu....Tangu 2013 mdogo wako wa damu hana matokeo yake wewe upo unajivinjari mtandaoni umeshindwa kumlipia????

hapo elimu kagharamia sijui kama ingekua burebure hata mngekumbuka hiko cheti kweli??
 
Simbachawene amesema majukumu ya wazazi pamoja na mambo mengine yatakuwa ni kununua sare za shule, vifaa vya kujifunzia, gharama za matibabu, nauli, gharama za chakula kwa wanafunzi wa shule za kutwa na kununua magodoro, shuka, vifaa vya usafi binafsi kwa wanafunzi wa bweni.

Sinto chambua kwakuwa IPO wazi yakuwa sh 20000 ama 70000 mzazi asingeshindwa kulipa ila tatizo ni hizo gharama zingine ambazo ni kubwa sana kuliko Ada.... Tusiwahadae Wananchi kwa janja janja ya siasa.

Kwahiyo wazazi walipe wenyewe ada lakini uniform na magodoro, sabuni, shuka, nauli ya kwenda shule walipiwe na serikali kwakuwa ni kubwa kuliko ada?????

Kwani ukiambiwa Elimu Bure siyo tu kwa TanZania bali ni Dunia nzima wanaposema Elimu bure au free education for all unafikiri huwa wanamaanisha nini haswa? labda tuanzie hapo!
 
Huyu jamaa kafanya upembuzi yakinifu unless you are mad you can't ignore the fact. Shuleni wametakiwa kuandaa budget za shule kwa mwaka kiukwel serikali inapaswa ichukue muda kwenye kuandaa mipango Kazi yake itakayorandana na recently research finding. Hzo ada za elfu 20 na sabini hats form ya kujiunga na chuo hununui. Work as usual!!

Kwani ukiambiwa Elimu Bure siyo tu kwa TanZania bali ni Dunia nzima wanaposema Elimu bure au free education for all unafikiri huwa wanamaanisha nini haswa? labda tuanzie hapo!
 
HAKUNA JIPYA MBWEMBWE ZA KISIASA TU.TOFAUTI NI HIYO 20000KWA KUTWA NA 70000 KWA BWENI.MICHANGO KAMA KAWAIDA.SERIKALI IMETAMKA HAKUNA MCHANGO JE WANAFUNZI WA KUTWA WATAPELEKA NINI KWA AJILI YA CHAKULA?

Kwani ukiambiwa Elimu Bure siyo tu kwa TanZania bali ni Dunia nzima wanaposema Elimu bure au free education for all unafikiri huwa wanamaanisha nini haswa? labda tuanzie hapo!
 
Hadaa za CCM zimeshazoeleka sasa.

Kwani ukiambiwa Elimu Bure siyo tu kwa TanZania bali ni Dunia nzima wanaposema Elimu bure au free education for all unafikiri huwa wanamaanisha nini haswa? labda tuanzie hapo!
 
kilichoondolewa ni ada tu michango ipo palepale

Kwani ukiambiwa Elimu Bure siyo tu kwa TanZania bali ni Dunia nzima wanaposema Elimu bure au free education for all unafikiri huwa wanamaanisha nini haswa? labda tuanzie hapo!
 
Kani wakati anasoma ahule ya msingi mtoto wako alikuwa anapata chakula cha mchana shuleni?
Mm mwenyewe nilikuwa napata chakula cha mchana shulen pia mwanangu kimbwe na yeye tulikuwa tunachangia sisi wazazi hivyo alikuwa anakula shulen......mm nasubir nione ,nilikuwa nalipa debe mbili za mahind na sadolin mbili za maharage pamoja na hela ya kulipa mpishi na mafuta shilingi elfu ishirini
 
Nyinyi bisheni tu lakini kwa hili Magufuli amejivika kitanzi. Huku vijijini wananchi walivyoelewa ni kwamba hakuna michango yoyote. Mchango uliokuwa ukiwasumbua sana wazazi ni mchango wa chakula.Shule za kutwa bila chakula ni kuua elimu kabisa, huwezi kumfundisha mwanafunzi mwenye njaa akaelewa.Magufuli anazidi kupoteza imani kwa watu mbali mbali,waathirika wa bomoabomoa,wenye shule binafsi, wazazi na wanafunzi wa shule za kutwa,baada ya miezi sifa Lumumba tu ndiyo watakaokuwa wanamkubali!

Kwani ukiambiwa Elimu Bure siyo tu kwa TanZania bali ni Dunia nzima wanaposema Elimu bure au free education for all unafikiri huwa wanamaanisha nini haswa? labda tuanzie hapo!
 
Kwani ukiambiwa Elimu Bure siyo tu kwa TanZania bali ni Dunia nzima wanaposema Elimu bure au free education for all unafikiri huwa wanamaanisha nini haswa? labda tuanzie hapo!
Sawasawaaa
 
Yeye na mkewe wote maziro unategemea nn hapo kama si uchambuzi wa kiziro
 
Ngoja tuone mwisho wake ila kila kinachesemwa na sirikali hii ni ngumu kumeza
 
Kwani ukiambiwa Elimu Bure siyo tu kwa TanZania bali ni Dunia nzima wanaposema Elimu bure au free education for all unafikiri huwa wanamaanisha nini haswa? labda tuanzie hapo!
Elimu bure maana yake isilipiwe kama serikali ilivyotangaza lakini watanzania tuliambiwa hatutachangia chochote conversely michango ipo palepale rejea waraka upande wa majukumu ya walezi/wazazi.
 
ccm ni ile ile, ooho ni ile ile........ namba itasomeka
 
Elimu Bure
 
Attachments

  • 1451991580928.jpg
    1451991580928.jpg
    51.2 KB · Views: 48
Elimu bure maana yake isilipiwe kama serikali ilivyotangaza lakini watanzania tuliambiwa hatutachangia chochote conversely michango ipo palepale rejea waraka upande wa majukumu ya walezi/wazazi.

Basi una matatizo na uelewa wa falsafa ya Elimu Bure (free education for all) kama ilivyotolewa na UN!

Kwa kukusadidia Elimu bure maana yake ni kwamba Serikali mtoto hatozwi ada ya shule wala michango mingine yote kama Ulinzi wa shule, kulipia mitihani n.k lkn jukumu la kummlea mtoto linabakia kuwa la Mzazi/Mlezi kama vile kumpa chakula, mavazi, maji ya kunywa, kitanda cha kulalia, nyumba ya kuishi, n.k sasa kama pia hauwezi kuyafanya hayo basi nenda ustawi wa Jamii na watamchukuwa mtoto wako kumtafutia wazazi mbadala (adoption) au kumpeleka nyumba ya watoto yatima huko atapata hayo yote!
 
Last edited:

Kwani ukiambiwa Elimu Bure siyo tu kwa TanZania bali ni Dunia nzima wanaposema Elimu bure au free education for all unafikiri huwa wanamaanisha nini haswa? labda tuanzie hapo!

Kama kuna mzazi kashindwa mpa nauli mwanae aende shule basi abaki nae nyumbani!!
 
Watu wanaoanzisha nyuzi za kipuuzi kama hizi ndo wanachangia hasira ya Magufuli kwa watu wa mabondeni iongezeke kwasababu hata wafanyiwe jema gani hawaoni.
 
Back
Top Bottom