Makonda: Serikali haiendeshwi kwa presha ya maneno

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,108
Reaction score
4,017
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema Serikali haifanyi kazi kwa presha ya maneno ya watu, bali inatekeleza ahadi zake kwa wananchi, ikiwemo kuboresha sekta ya elimu nchini.

Makonda ameyasema hayo wakati akizindua Shule ya Msingi Butiriti, iliyopo Wilaya ya Ukerewe, Mkoa wa Mwanza, akiwa katika ziara ya kikazi ya kukagua miradi ya maendeleo.Amesema Serikali imetoa zaidi ya Sh330 milioni kuboresha miundombinu ya elimu, huku Ukerewe ikiwa imejenga shule mpya nane na kufanya idadi ya shule za msingi kufikia 141 na sekondari 36.

Aidha, amesema Serikali inaendelea kuboresha mazingira ya kujifunzia na kufundishia, huku akimpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupanua upatikanaji wa elimu ya awali kwa watoto wa familia mbalimbali.Amesisitiza kuwa hatua zinazochukuliwa katika sekta ya elimu zinaonesha dhamira ya Serikali kutekeleza ahadi zake kwa vitendo, badala ya kuongozwa na presha ya maneno.
 
Aidha, amesema Serikali inaendelea kuboresha mazingira ya kujifunzia na kufundishia, huku akimpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupanua upatikanaji wa elimu ya awali kwa watoto wa familia mbalimbali.Amesisitiza kuwa hatua zinazochukuliwa katika sekta ya elimu zinaonesha dhamira ya Serikali kutekeleza ahadi zake kwa vitendo, badala ya kuongozwa na presha ya maneno.#mwananchiupdates #tunaliwezeshataifa
Yes,
waziri Paul Makonda yupo sahihi 100%,

Na si hivyo tu,
serikali sikivu ya CCM, inatekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM toleo la2025, kulingana mahitaji ya wananchi na vipaumbele vya waTanzania, bila kujali mihemko, makelele, mayowe, makasiriko au matusi ya wasusa uchaguzi au vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi :NoGodNo:
 
Takataka
Wewe ni tahahira pamoja na huyo zero brain miguu iliyopinda matako makubwa bashite
 
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema Serikali haifanyi kazi kwa presha ya maneno ya watu, bali inatekeleza ahadi zake kwa wananchi, ikiwemo kuboresha sekta ya elimu nchini.

Makonda ameyasema hayo wakati akizindua Shule ya Msingi Butiriti, iliyopo Wilaya ya Ukerewe, Mkoa wa Mwanza, akiwa katika ziara ya kikazi ya kukagua miradi ya maendeleo.Amesema Serikali imetoa zaidi ya Sh330 milioni kuboresha miundombinu ya elimu, huku Ukerewe ikiwa imejenga shule mpya nane na kufanya idadi ya shule za msingi kufikia 141 na sekondari 36.

Aidha, amesema Serikali inaendelea kuboresha mazingira ya kujifunzia na kufundishia, huku akimpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupanua upatikanaji wa elimu ya awali kwa watoto wa familia mbalimbali.Amesisitiza kuwa hatua zinazochukuliwa katika sekta ya elimu zinaonesha dhamira ya Serikali kutekeleza ahadi zake kwa vitendo, badala ya kuongozwa na presha ya maneno.
DAB ni tapeli. Asipewe ushirikiano. Haramia.
 
just relax,
mihemko na makasiriko useless kama hayo ni nonsense tu gentleman.
Serikali sikivu ya ccm inachapa kazi na kuchanja mbuga katika kuwatumikia wananchi bila mbamabamba zozote zile :1Head:

Wewe kweli mwendawazimu aliyrkosa hata akili tu ya kujitambua ni mwendawazimu. Serikali inayoteka na kuua wananchi, kubambikia watu kesi, kufisadi rasilimali za nchi na kuwagawia waarabu, ndiyo serikali sikivu!! Ni sikivu, inamsikiliza nani zaidi ya waporaji wa rasilimali za nchi na hao watekaji na wauaji?
 
You can insult or call me names as you wish gentleman, but take notes kwamba,

Serikali sikivu ya CCM chini ya Dr Samia Suluhu Hassan, haitababaika na mayowe, porojo nonsense au drama useless za wasusia uchaguzi au wafuata mkumbo, bali itaendelea kuchapa kazi za wananchi usiku na mchana, na kuhakikisha TANZANIA inapata maendeleo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii kwa kasi na viwango 🐒
 
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema Serikali haifanyi kazi kwa presha ya maneno ya watu, bali inatekeleza ahadi zake kwa wananchi, ikiwemo kuboresha sekta ya elimu nchini.

Makonda ameyasema hayo wakati akizindua Shule ya Msingi Butiriti, iliyopo Wilaya ya Ukerewe, Mkoa wa Mwanza, akiwa katika ziara ya kikazi ya kukagua miradi ya maendeleo.Amesema Serikali imetoa zaidi ya Sh330 milioni kuboresha miundombinu ya elimu, huku Ukerewe ikiwa imejenga shule mpya nane na kufanya idadi ya shule za msingi kufikia 141 na sekondari 36.

Aidha, amesema Serikali inaendelea kuboresha mazingira ya kujifunzia na kufundishia, huku akimpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupanua upatikanaji wa elimu ya awali kwa watoto wa familia mbalimbali.Amesisitiza kuwa hatua zinazochukuliwa katika sekta ya elimu zinaonesha dhamira ya Serikali kutekeleza ahadi zake kwa vitendo, badala ya kuongozwa na presha ya maneno.
Sahihi
 
Back
Top Bottom