Serikali hoi kifedha, Sasa kukopa...


= Ilifilisika

Ilifilisika wakati wa Nyerere, Mwinyi akaja kuitoa huko na kuirudisha kwenye chart.

Maisha bora ni ukweli kabisa. Leo unaenda siokoni uanchaguwa ule maharage ya Mbeya au ya Arusha. Leo una matumaini ya kuishi miaka zaidi ya 62. Wakati wa Nyerere alikuwa 43, Mwinyi akaipandisha 45, Mkapa akafikisha 49, leo Kikwete kwa miaka yake 9 tu unamatuamaini yakuishi zaidi ya miaka 62. Unajuwa maana yake ni nini? ni maisha bora hayo.

Leo unaweza kuingia kwenye mtandao ukabwabwaja, unajuwa maana yake ni nini? ni maisha bora hayo.

Leo unaweza kwenda dukani ukachaguwa unataka mswaki upi na dawa ipi ya kusafisha kinywa chako, ni maisha bora hayo.

Thubutu yote hayo uyaone wakati wa Nyerere.
 

Mzee Ruksa, ni hero wa Watanzania mpaka leo hii, na hilo jina ulilomwita linathibitisha hilo.

Alitutoa kwenye lindi la umasikini wa Nyerere na kila kitu chema kwake kikawa RUKSA. Tukaanza mpaka kuiona dunia kwenye TV ambazo hatujawahi kuziona wakati wa Nyerere.
 

Haitetei ccm na serikali yake , huyo anamtetea Kikwete ndugu. Msome vizuri huyo bibi utaelewa anatetea nini.
 
Huu uzi nusu ya comments zake ni kwa hisani ya FaizaFoxy !

Naam, nilikwambia kwenye zile nyuzi zako za uongo uliolishwa na kuja kuutapika humu, kila mtapokuja na uongo wenu mtanikuta. Na sitowapa pumzi hata chembe, ntawaonesha ukweli ni upi.

Mpaka mtie akili muwe mnakuja na ukweli, hapo ntawatembelea kule MMU kwenda kujitia pressure kidogo.
 
Wamaichagua=wameichagua
Myinyi=nyinyi
Zanu=zenu
wewe ndiye umefilisika?=wewe ndiye uliyefilisika?
 
Mermermerko
 
Pasco bhana yani unaongea kama vile sio mjanja tena; hivi kukiwepo na fedha kwenye deposit account haziwezi kuhamishwa kwenda reccurrent account kuokoa jahazi na makusanyo yakiingia zikarudishwa deposit account? sasa kama deposit ni kweupe serikali ikope wapi kuboost recurrent kama sio kwenye mabenki?
 
Ilifilisika wakati wa Nyerere. Wakati hatuna hata cha kukila.

Leo mambo swaaafi kabisa, na wala hamumstui mtu humu, Serikali iliyofilisika unaijuwa wewe ulikuwepo wakati wa Nyerere au unausikia tu?
Unausikia=unasikia
 

Ulikosa=umekosa
Hamjakuwepo=hamkuwepo
 

Ungeyatowa=ungeyatoa
 
unh kumbe mishahara yote ya wafanyakazi wa serikali ni 300 bilioni. zile pesa za escrow zinazosemakana kuchotwa.. zingelipa wafanyakazi kwa mwezi huu? how ironic

Umeelewa kweli analichokiandika mdau hapo au umeamua kujitoa akili!? Soma kwa makini kabla hujareply comment ya mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…