mapengo junior
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 1,135
- 276
Wewe pia itakuwa ni mhamiaji haramu. Unajuwa Tanzania tunadhani tunazaana sana kumbe wahamiaji haramu kibao kwa kuwa kuna neema nchi hii na tumezungukwa na ma nchi yenye dhiki kibao.
Tanzania hii ikifanyika hasa ukaguzi wa vizazi viwili tu nyuma, wengi itabidi mrudi makwenu.
Samahani sana kiongozi, siwezi fanya huo ujinga. Kwa kipi kunilaza nje siku 4.
Faiza foxy utakuwa unaanza kuugua uchizi si bure
wewe mdini kweli,kuelewa mada hapana unakimbilia ushabiki
FF, kumwita mwenzio mhamiaji haramu unaona ni sawa, uko wapi utu uzima wako na ukomavu wa kuwa mtandaoni kwa muda mrefu na ukapewa sifa ya kuwa JF Senior Expert Member.
Tofauti ya kimtizamo, ukada,dini, jinsia n.k isitutoe ufahamu na kupost unachojisikia.
Mkuu mbali na usumbufu woote unaoupata na bado siku ya kura utasumbuka pia hata masaa 12 naomba kura yako uwape ccm mafiga matatu mkuu urais diwani na mbunge FaizaFoxy acha matusi njoo tutafute kura huku maana muda umetaradadi
nasubiri waje dar nione uhuni wao wataufanya vipi
Una mdomo mchafu kama mdomo wa nguruwe
Sasa wazazi wangu wanaingiaje humu wewe?
Nimerudisha lile lile domo chafu ulilokuja nalo kwangu, limekuuma? Kama wewe una wazazi wako basi ujuwe na sisi ni wazazi wa wengine.
Imekuuma?
Ukini beep mimi napiga. Kumbuka hilo.
Huna tofauti na mdomo wa nguruwe