Serikali haitaki kuniandika kwenye BVR?

Serikali haitaki kuniandika kwenye BVR?

Aisee hao jamaa wanapiga kazi sana...yani wanakuhudumia tangu saa tisa alfajiri!!!! tuwe na shukurani jaman yani mtu saa tisa yupo kituoni kugawa namba... hongereni tume kutuletea wachapa kazi...ongezeni mashine
Hujui ulisemalo, namba ni utaratibu tuliojiwekea. Kila anaefika anachukua. Watumishi wanafika saa 1:30 na saa 2 wanaanza kazi.
 
Jaribu kumzoea huyu ndio bibi FaizaFoxy haishi vituko.

Pamoja na heshima kubwa kwako hata kama kifikra tuna tofauti leo hujaelewa mada. Mashine haijanikataa Bali uandikishwaji unasuasua kiasi sifikiwi. Muda huu fujo imeanza na waandikishaji wametoa taarifa Polisi.
 
Last edited by a moderator:
Muda huu nipo kituoni nikisubiri kuandikishwa kwenye BVR. Hili ni jaribio langu la nne. Uandikishaji ulianza tarehe 09/06/2015 na siku ya kwanza nilienda kituoni nikapewa na 56 mashine iliandikisha watu 42 tu, tar 10/06 /2015 mashine iliandikisha watu 79, nikiwahi kituoni watu walikataa kututambua sisi tuliobaki Jana yake.

Tar 11/06 /2015 niliamka saa 8 usiku na kuwahi kituoni nikapewa na 64. Mashine iliandikisha watu 40 hadi saa 7 ikazima sikuweza kuandikishwa.

Leo nimefika kituoni saa 9 alfajiri na nimepewa na 86. Sijui kama leo nitaandikishwa. Nipo kituo cha Nyanza kata ya Mkolani wilaya ya Nyamagana.

Mtaa wetu una watu si chini ya 1500 wenye sifa za kuandikishwa lakini tija na ufanisi wa kuandikisha ni duni. Mwamko wa watu kujiandikisha upo juu na wamejitokeza kwa wingi lakini vitendea kazi na watenda kazi hakuna. Lengo la serikali ni nini?
Wewe utakuwa gaidi umetumwa kuweka huo uwongo wako hapa ndani, wewe wala hujae da kuandikishwa hayo maneo na namba umejitungia tu kichwani, mwehu weee ushindwe na ulegeee
 
Wewe utakuwa gaidi umetumwa kuweka huo uwongo wako hapa ndani, wewe wala hujae da kuandikishwa hayo maneo na namba umejitungia tu kichwani, mwehu weee ushindwe na ulegeee
Tatizo linalotukabili Tanzania limekuwa likiwasumbua sana wenzetu Kenya kwa namna ile ile ila kwa mtazamo tofauti. Kenya mjaluo kumsema mjaluo mwezake hata kama kakosea anaona hatendi haki. Hivyo hivyo kwa mkikuyu, mmasai na mluya. Hapa ukisema jambo hata kama Lina ukweli mwingi kama linakigusa chama cha mapinduzi basi washabiki, wapenzi na wanachama watanyanyuka wakugawane kwa kejeri kama sio matusi. Mm nakumbuka wahenga husema "maji ya moto hayaunguzi nyumba". Mimi gaidi au sio Siyo hoja, hoja ni je, zoezi la ubooreshaji vitambulisho vya kupigia kula linaenda vzr?
 
Muda huu nipo kituoni nikisubiri kuandikishwa kwenye BVR. Hili ni jaribio langu la nne. Uandikishaji ulianza tarehe 09/06/2015 na siku ya kwanza nilienda kituoni nikapewa na 56 mashine iliandikisha watu 42 tu, tar 10/06 /2015 mashine iliandikisha watu 79, nikiwahi kituoni watu walikataa kututambua sisi tuliobaki Jana yake.

Tar 11/06 /2015 niliamka saa 8 usiku na kuwahi kituoni nikapewa na 64. Mashine iliandikisha watu 40 hadi saa 7 ikazima sikuweza kuandikishwa.

Leo nimefika kituoni saa 9 alfajiri na nimepewa na 86. Sijui kama leo nitaandikishwa. Nipo kituo cha Nyanza kata ya Mkolani wilaya ya Nyamagana.

Mtaa wetu una watu si chini ya 1500 wenye sifa za kuandikishwa lakini tija na ufanisi wa kuandikisha ni duni. Mwamko wa watu kujiandikisha upo juu na wamejitokeza kwa wingi lakini vitendea kazi na watenda kazi hakuna. Lengo la serikali ni nini?

nadhani serikal kupitia tume inafanya makusudi kwenye majimbo wasikokubalika..inaweza.kuwa wanaandikisha wanaccm kmya kmya sehemu ya sir
 
nadhani serikal kupitia tume inafanya makusudi kwenye majimbo wasikokubalika..inaweza.kuwa wanaandikisha wanaccm kmya kmya sehemu ya sir
Huenda ikawa na ukweli kiasi kwani nilipokuwa Mji mdogo wa Mitundu Manyoni nilisikia hili ila Ilikuwa ni "tetesi". Nilikuwepo huko wakati wakiandikishwa.
 
Mahatma Gandhi alisema "Kama ukitaka kubadili dunia anza kwanza wewe". Kwa maana hiyo mabadiliko ni wewe na si kulaumu. Waweza kugombea ukajitahidi uwe mbunge wa Mfano usiesahau wapiga kula wako.

Sawa 2020 nikiwahai nitafanyia kazi
 
Back
Top Bottom