Binti Sayuni
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 367
- 54
ni kosa dogo sana ukiangalia na uongozi mbovu wa chama husika,watu wameona ni njia nzuri kwao kutoa hasira zao kwa njia hio.
Washukuru ni bango tu.
Si bango tu hata mioyoni
ni kosa dogo sana ukiangalia na uongozi mbovu wa chama husika,watu wameona ni njia nzuri kwao kutoa hasira zao kwa njia hio.
Washukuru ni bango tu.
Kuna kitu kinaitwa kukinaisha. Sura zile zile zinaonekana kila mahali; zinakinaisha.
Mabango mengi hivyo ni ili CCM ifahamike? Kwani kuna asiyeifahamu? Ni ili mgombea wa CCM afahamike? Kwani kuna asiyemfahamu?
Watu wamekinaishwa, sio na sura za viongozi wa CCM pekee, bali na hata lichama lenyewe. Limewakalia muda mrefu mno. Wanataka sasa ahueni.
Na siyo kosa la jinai kukuta bango limebandikwa kwenye ukuta wa nyumba yangu????????Ni kosa la jinai kuharibu mabango ya kampeni; haijalishi ni ya chama au mgombea gani.
Sijui mvua ikiyanyeshea na vile ni ya China watamkamata mungu....
Kinachonichosha ni yule aliyekuwa Rais kutofahamika licha tu ya Tanzania nzima bali hata eneo lisilozidi kilometre tatu kutoka Ikulu. Wanaanza kukimbizana mitaani na watu wanaotoa mabango. Hayana jipya hayo. Kwani wanachuo hawajui sera zenu kandamizi kwa watoto wa maskini wanaosoma elimu ya juu.
Tumieni mabavu yenu haitawasaidia sana. Usitegemee mabango yenu yapendwe na wahanga wa utawala wenu. Sawa na kubandika picha ya Osama msikitini hiyo