Serikali: Biashara 16,252 zafungwa na 147,818 zafunguliwa kwa kipindi cha Julai, 2018 hadi Aprili, 2019


Njoo ujibu Mzee Mwanakijiji
 
Purchasing power imepungua umejuaje?

Mkuu usipinge tu Kisa unauwezo wa kupinga , fanya small reserch, Mimi nimepita kariakoo tena siku ya kazi , nimeona fremu tena zilizopo center kwa haraka haraka c chini ya thelathini zimefungwa , kitu ambacho ni tofaut na zaman ....

Zaman huwez kuta fremu nyingi kiasi hicho zimefungwa kwa wakati mmoja .....Kwaiyo usikae tu kwenye sofa unapinga pings bila kuwa na fact....toka nje kaone
 
Wafanyabiashara wote walijisajili Wafanyabiashara halali wanaongezeka
Wafanyabiashara haramu wanazidi kujitoa
 
Haoni aibu kudanganya mwez mtukufu na ijabu lake......such a shameless woman
 
Ndiyooo niliyasema juzi..mtu anasema "biashara zinafungwa" tunamuuliza kulinganisha na nini na lini? Chegeni (au mwingine) anachoweza Ni kuoneshwa takwimu zinazopingana na hizi za serikali
Mkuu, ningefurahi kusikia haya, mtaji wa biashara zilizofungwa ni x tsh na mpya zilizofunguliwa ni y tsh. Ningepata hiyo figure, ningeweza kujuanani mkweli!
Unaweza kufunga biashara 2 za zamani zenye mtaji wa zaidi ya biashara 100, 000 mpya zinazofunguliwa hasa kwa vipande vya wamachinga.
Kiujumla utolewe ulinganisho wa mitaji.
 
Huyu jiwe fix mno daaahh Kesha angukia pua...akae pembeni tu inatosha jamani daaah...Gunduu kwenda mbele
 
Jitu pumbavu likikudanganya wewe unayedanganywa unaonekana mpumbavu zaidi huyo ni mpuuzi kama anayempa kula
 
Were jamaa punguza hasira na serekale
 
Ndiyooo niliyasema juzi..mtu anasema "biashara zinafungwa" tunamuuliza kulinganisha na nini na lini? Chegeni (au mwingine) anachoweza Ni kuoneshwa takwimu zinazopingana na hizi za serikali
Takwimu za serikali ni rasmi. Ila si lazima zihusiane na ukweli. Ukweli uko uwanjani. Nenda kwanza pale business/financial district, Kariakoo.
 
Haoni aibu kudanganya mwez mtukufu na ijabu lake......such a shameless woman
Watu wanaotoka mkoa wa akina matonya wana la maana la kutuambia? Kazi yao kuimba sifa za mfalme. Kuna yule wa kongwa, halafu wa mtera; na huyu sasa wa kondoa. Wote wanamwaga mashudu tu.
 
Mficha maradhi,kifo kitamuumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…