Serikali: Biashara 16,252 zafungwa na 147,818 zafunguliwa kwa kipindi cha Julai, 2018 hadi Aprili, 2019

Clueless Hutus, mxieeew!

Kwa hiyo wewe Mzee Mwanakijiji Shoprite na Nakumatt wakifunga maduka yao, Fastjet ikafa, Bakhresa akapitisha mizigo yake Bandari ya Mombasa badala ya Dar Port na wafanyabiashara wa Kariakoo wakafuata mizigo Kampala badala mzigo uwakute hapo Kariakoo....

halaf nyinyi kwa akili zenu za Kihutu mkatoa vitambulisho vya wamachinga 165,000 na kufungua vibanda vya chips na Mpesa kila kona ya mtaa ndo akili yako inakutuma kuwa biashara zilizokufa/kufungwa ama kuhamishwa ni pungufu kwa thamani na idadi ya hivyo vitambulisho vya wamachinga mlivotoa?

Njoo ujibu Mzee Mwanakijiji
 
Purchasing power imepungua umejuaje?

Mkuu usipinge tu Kisa unauwezo wa kupinga , fanya small reserch, Mimi nimepita kariakoo tena siku ya kazi , nimeona fremu tena zilizopo center kwa haraka haraka c chini ya thelathini zimefungwa , kitu ambacho ni tofaut na zaman ....

Zaman huwez kuta fremu nyingi kiasi hicho zimefungwa kwa wakati mmoja .....Kwaiyo usikae tu kwenye sofa unapinga pings bila kuwa na fact....toka nje kaone
 
Wafanyabiashara wote walijisajili Wafanyabiashara halali wanaongezeka
Wafanyabiashara haramu wanazidi kujitoa
 
Naibu Waziri wa Fedha, Dk Ashatu Kijaji amesema biashara zilizofungwa katika kipindi cha kuanzia Julai 2018 hadi Aprili 2019 ni 16,252 lakini zimefunguliwa 147,818.

Dk Kijaji ameyasema hayo leo Jumatano Mei 15, 2019 wakati akijibu hoja zilizotolewa na wabunge wakati wakichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Viwanda na Biashara kwa mwaka wa fedha 2019/2020.

Kauli hiyo imekuja siku moja baada ya mbunge wa Busega (CCM), Dk Raphael Chegeni wakati akichangia mjadala wa bajeti ya Viwanda na Biashara mwaka 2019/2020 kudai Dk Kijaji alidanganya Bunge kuhusu takwimu za biashara ambazo zinafungwa.

Pia, Dk Chegeni amesema kuwa mapato yanayokusanywa nchini yameshuka.

Akijibu jambo hilo leo Dk Kijaji amesema huo ndio ukweli na uhalisia na kuhoji kama biashara zingefungwa wasingeweza kukusanya mapato.

Amesema kama biashara zinafungwa maana yake uchumi unasinzia na kubainisha kuwa Tanzania haijafika hapo.

“Watanzania halali wamemwelewa Rais John Magufuli na wanaendelea kufanya biashara halali. Uchumi uko imara na makini. Tunaendelea kutenda kwa ajili ya wananchi,” amesema.

Amesema tangu Serikali ya Awamu ya Tano iingie madarakani hawajawahi kukusanya mapato ya chini ya Sh1trilioni kwa mwezi.
Haoni aibu kudanganya mwez mtukufu na ijabu lake......such a shameless woman
 
Ndiyooo niliyasema juzi..mtu anasema "biashara zinafungwa" tunamuuliza kulinganisha na nini na lini? Chegeni (au mwingine) anachoweza Ni kuoneshwa takwimu zinazopingana na hizi za serikali
Mkuu, ningefurahi kusikia haya, mtaji wa biashara zilizofungwa ni x tsh na mpya zilizofunguliwa ni y tsh. Ningepata hiyo figure, ningeweza kujuanani mkweli!
Unaweza kufunga biashara 2 za zamani zenye mtaji wa zaidi ya biashara 100, 000 mpya zinazofunguliwa hasa kwa vipande vya wamachinga.
Kiujumla utolewe ulinganisho wa mitaji.
 
Huyu jiwe fix mno daaahh Kesha angukia pua...akae pembeni tu inatosha jamani daaah...Gunduu kwenda mbele
 
Naibu Waziri wa Fedha, Dk Ashatu Kijaji amesema biashara zilizofungwa katika kipindi cha kuanzia Julai 2018 hadi Aprili 2019 ni 16,252 lakini zimefunguliwa 147,818.

Dk Kijaji ameyasema hayo leo Jumatano Mei 15, 2019 wakati akijibu hoja zilizotolewa na wabunge wakati wakichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Viwanda na Biashara kwa mwaka wa fedha 2019/2020.

Kauli hiyo imekuja siku moja baada ya mbunge wa Busega (CCM), Dk Raphael Chegeni wakati akichangia mjadala wa bajeti ya Viwanda na Biashara mwaka 2019/2020 kudai Dk Kijaji alidanganya Bunge kuhusu takwimu za biashara ambazo zinafungwa.

Pia, Dk Chegeni amesema kuwa mapato yanayokusanywa nchini yameshuka.

Akijibu jambo hilo leo Dk Kijaji amesema huo ndio ukweli na uhalisia na kuhoji kama biashara zingefungwa wasingeweza kukusanya mapato.

Amesema kama biashara zinafungwa maana yake uchumi unasinzia na kubainisha kuwa Tanzania haijafika hapo.

“Watanzania halali wamemwelewa Rais John Magufuli na wanaendelea kufanya biashara halali. Uchumi uko imara na makini. Tunaendelea kutenda kwa ajili ya wananchi,” amesema.

Amesema tangu Serikali ya Awamu ya Tano iingie madarakani hawajawahi kukusanya mapato ya chini ya Sh1trilioni kwa mwezi.
Jitu pumbavu likikudanganya wewe unayedanganywa unaonekana mpumbavu zaidi huyo ni mpuuzi kama anayempa kula
 
Were jamaa punguza hasira na serekale
tunashukuru kwa takwimu, najua amezitoa akijua wazi hakuna mtu anayeweza ku 'fact check' hiyo taarifa, all in all kama ni za uongo basi serikali inajiongopea yenyewe.
ikifungwa super market moja na vikafunguliwa vibanda vya mpesa vitatu bila shaka serikali itasema "zimefunguliwa biashara nyingi"!
 
Ndiyooo niliyasema juzi..mtu anasema "biashara zinafungwa" tunamuuliza kulinganisha na nini na lini? Chegeni (au mwingine) anachoweza Ni kuoneshwa takwimu zinazopingana na hizi za serikali
Takwimu za serikali ni rasmi. Ila si lazima zihusiane na ukweli. Ukweli uko uwanjani. Nenda kwanza pale business/financial district, Kariakoo.
 
Haoni aibu kudanganya mwez mtukufu na ijabu lake......such a shameless woman
Watu wanaotoka mkoa wa akina matonya wana la maana la kutuambia? Kazi yao kuimba sifa za mfalme. Kuna yule wa kongwa, halafu wa mtera; na huyu sasa wa kondoa. Wote wanamwaga mashudu tu.
 
nawasikiliza. ...
IMG_20190429_225127.jpg
 
Hizo biashara labda ni zile za vitambulisho vya Tsh 20,000/- Ila tunaona biashara zimefungwa maduka hayafanyi vizuri hata uchangamfu wa miji, watu haupo kama zamani. Kungekuwa na ufunguzi mkubwa wa biashara kama N. Waziri alivyosema basi TRA isingesisitiza watu wasifunge biashara.
Mficha maradhi,kifo kitamuumbua
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom