Serikali: Biashara 16,252 zafungwa na 147,818 zafunguliwa kwa kipindi cha Julai, 2018 hadi Aprili, 2019

Influenza

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Messages
448
Points
1,000
Influenza

Influenza

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2018
448 1,000
Naibu Waziri wa Fedha, Dk Ashatu Kijaji amesema biashara zilizofungwa katika kipindi cha kuanzia Julai 2018 hadi Aprili 2019 ni 16,252 lakini zimefunguliwa 147,818.

Dk Kijaji ameyasema hayo leo Jumatano Mei 15, 2019 wakati akijibu hoja zilizotolewa na wabunge wakati wakichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Viwanda na Biashara kwa mwaka wa fedha 2019/2020.

Kauli hiyo imekuja siku moja baada ya mbunge wa Busega (CCM), Dk Raphael Chegeni wakati akichangia mjadala wa bajeti ya Viwanda na Biashara mwaka 2019/2020 kudai Dk Kijaji alidanganya Bunge kuhusu takwimu za biashara ambazo zinafungwa.

Pia, Dk Chegeni amesema kuwa mapato yanayokusanywa nchini yameshuka.

Akijibu jambo hilo leo Dk Kijaji amesema huo ndio ukweli na uhalisia na kuhoji kama biashara zingefungwa wasingeweza kukusanya mapato.

Amesema kama biashara zinafungwa maana yake uchumi unasinzia na kubainisha kuwa Tanzania haijafika hapo.

“Watanzania halali wamemwelewa Rais John Magufuli na wanaendelea kufanya biashara halali. Uchumi uko imara na makini. Tunaendelea kutenda kwa ajili ya wananchi,” amesema.

Amesema tangu Serikali ya Awamu ya Tano iingie madarakani hawajawahi kukusanya mapato ya chini ya Sh1trilioni kwa mwezi.
 
kapalamsenga

kapalamsenga

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2013
Messages
6,508
Points
2,000
kapalamsenga

kapalamsenga

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2013
6,508 2,000

Hizo biashara labda ni zile za vitambulisho vya Tsh 20,000/- Ila tunaona biashara zimefungwa maduka hayafanyi vizuri hata uchangamfu wa miji, watu haupo kama zamani. Kungekuwa na ufunguzi mkubwa wa biashara kama N. Waziri alivyosema basi TRA isingesisitiza watu wasifunge biashara.
 
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
32,260
Points
2,000
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
32,260 2,000

Ndiyooo niliyasema juzi..mtu anasema "biashara zinafungwa" tunamuuliza kulinganisha na nini na lini? Chegeni (au mwingine) anachoweza Ni kuoneshwa takwimu zinazopingana na hizi za serikali
 
Reasoning ya namna gani hii
 
ELI-91

ELI-91

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2014
Messages
2,824
Points
2,000
ELI-91

ELI-91

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2014
2,824 2,000
tunashukuru kwa takwimu, najua amezitoa akijua wazi hakuna mtu anayeweza ku 'fact check' hiyo taarifa, all in all kama ni za uongo basi serikali inajiongopea yenyewe.
ikifungwa super market moja na vikafunguliwa vibanda vya mpesa vitatu bila shaka serikali itasema "zimefunguliwa biashara nyingi"!
 
Escaper

Escaper

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2018
Messages
1,332
Points
2,000
Escaper

Escaper

JF-Expert Member
Joined Nov 11, 2018
1,332 2,000
Hivi hawa jamaa mbona hawanaga aibu? Kariakoo hapo inakufa,wananchi majalala,, apecha,alolo.
Ujue mkuu hata kina Kagame na udikteta wao lakini wako makini kukuza na kupromote uchumi maana jeuri ya ulinzi wao ni kutokana na mapato hayo .. Sasa wewe acha huyu kunguru mweusi acheze na uchumi ili muda ujifika pesa zimeanza kuwa tabu ndo wabunge kinyeo watapoelewa nini kinaendelea.
 
M

mangatara

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Messages
12,626
Points
2,000
M

mangatara

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2012
12,626 2,000
Kweli namuunga mkono kuwa, biashara zilizofungwa ni chache kulinganisha na zilizofunguliwa. OK lakini ajue kuwa, yawezekana zilizofungwa ni zile zilikuwa zinaingiza Trilion na zinzofunguliwa ni za milion. Huoni tofauti?? Hivi kwa uelewa mdogo tu wa waziri hajui kuwa mwanzo ni mgumu??? Tusiumize vichwa, tusubiri muda ndio mwalimu mzuri
 
M

magu2016

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2017
Messages
652
Points
500
M

magu2016

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2017
652 500
Hivi hawa jamaa mbona hawanaga aibu? Kariakoo hapo inakufa,wananchi majalala,, apecha,alolo.
Acha uongo. Biashara za wakwepa kodi ndiyo wanaofunga lakini wafanyabiashara kweli wanaendelea na biashara. Kumbuka siku za nyuma kila mtu alijifanya mfanya biashara mtu unamkuta kaiba pesa huku serikalini anajifanya kufungua biashara ili kusafisha pesa za wizi hao ndiyo sasa wanafunga biashara kwa kuwa siyo wafanyabiashara na walikuwa wanaharibu biashara sana hawa hata kodi walikuwa hawalipi. Hawa acha wafunge biashara ili waendelee wafanyabiashara wa kweli na walipakodi wa kweli.
 
M

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2018
Messages
2,433
Points
2,000
M

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2018
2,433 2,000
Ndiyooo niliyasema juzi..mtu anasema "biashara zinafungwa" tunamuuliza kulinganisha na nini na lini? Chegeni (au mwingine) anachoweza Ni kuoneshwa takwimu zinazopingana na hizi za serikali
Naomba nikupe takwimu ambazo hakuna mtu ambae sio mvivu wa kufikiria na kutafuta information itakuwa rahisi kwake kujithibitishia.
Tafuta matawi mapya mangapi ya benki za Access, Akiba Commercial Bank, UBA na CRDB Microfinance yaliyofunguliwa na compare na yale yaliyofungwa. Why these banks? Ndizo zilizokuwa zinakimbizana na Microbusinesses na lower end of SMEs washindani wao wakiwa SACCOS.
 
M

magu2016

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2017
Messages
652
Points
500
M

magu2016

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2017
652 500
Ujue mkuu hata kina Kagame na udikteta wao lakini wako makini kukuza na kupromote uchumi maana jeuri ya ulinzi wao ni kutokana na mapato hayo .. Sasa wewe acha huyu kunguru mweusi acheze na uchumi ili muda ujifika pesa zimeanza kuwa tabu ndo wabunge kinyeo watapoelewa nini kinaendelea.
Hakuna kitu kama hivyo Kariakoo ilikuwa inatumika sana na Money Launders kusafisha pesa za wizi sasa wamebanwa ndiyo maana wanafunga na wengi wao walikuwa hawalipi kodi
 
nusuhela

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Messages
4,264
Points
2,000
nusuhela

nusuhela

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2014
4,264 2,000
Hizo biashara wanazifungulia vyumbani mwao au? Maana huku mtaani watu wanafunga biashara zao kila kukicha
Naibu Waziri wa Fedha, Dk Ashatu Kijaji amesema biashara zilizofungwa katika kipindi cha kuanzia Julai 2018 hadi Aprili 2019 ni 16,252 lakini zimefunguliwa 147,818.

Dk Kijaji ameyasema hayo leo Jumatano Mei 15, 2019 wakati akijibu hoja zilizotolewa na wabunge wakati wakichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Viwanda na Biashara kwa mwaka wa fedha 2019/2020.

Kauli hiyo imekuja siku moja baada ya mbunge wa Busega (CCM), Dk Raphael Chegeni wakati akichangia mjadala wa bajeti ya Viwanda na Biashara mwaka 2019/2020 kudai Dk Kijaji alidanganya Bunge kuhusu takwimu za biashara ambazo zinafungwa.

Pia, Dk Chegeni amesema kuwa mapato yanayokusanywa nchini yameshuka.

Akijibu jambo hilo leo Dk Kijaji amesema huo ndio ukweli na uhalisia na kuhoji kama biashara zingefungwa wasingeweza kukusanya mapato.

Amesema kama biashara zinafungwa maana yake uchumi unasinzia na kubainisha kuwa Tanzania haijafika hapo.

“Watanzania halali wamemwelewa Rais John Magufuli na wanaendelea kufanya biashara halali. Uchumi uko imara na makini. Tunaendelea kutenda kwa ajili ya wananchi,” amesema.

Amesema tangu Serikali ya Awamu ya Tano iingie madarakani hawajawahi kukusanya mapato ya chini ya Sh1trilioni kwa mwezi.
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
89,978
Points
2,000
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
89,978 2,000
Ila bado makusanyo ya kodi yanazidi kupungua! Tanzania ya VIWONDER!

Naibu Waziri wa Fedha, Dk Ashatu Kijaji amesema biashara zilizofungwa katika kipindi cha kuanzia Julai 2018 hadi Aprili 2019 ni 16,252 lakini zimefunguliwa 147,818.

Dk Kijaji ameyasema hayo leo Jumatano Mei 15, 2019 wakati akijibu hoja zilizotolewa na wabunge wakati wakichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Viwanda na Biashara kwa mwaka wa fedha 2019/2020.

Kauli hiyo imekuja siku moja baada ya mbunge wa Busega (CCM), Dk Raphael Chegeni wakati akichangia mjadala wa bajeti ya Viwanda na Biashara mwaka 2019/2020 kudai Dk Kijaji alidanganya Bunge kuhusu takwimu za biashara ambazo zinafungwa.

Pia, Dk Chegeni amesema kuwa mapato yanayokusanywa nchini yameshuka.

Akijibu jambo hilo leo Dk Kijaji amesema huo ndio ukweli na uhalisia na kuhoji kama biashara zingefungwa wasingeweza kukusanya mapato.

Amesema kama biashara zinafungwa maana yake uchumi unasinzia na kubainisha kuwa Tanzania haijafika hapo.

“Watanzania halali wamemwelewa Rais John Magufuli na wanaendelea kufanya biashara halali. Uchumi uko imara na makini. Tunaendelea kutenda kwa ajili ya wananchi,” amesema.

Amesema tangu Serikali ya Awamu ya Tano iingie madarakani hawajawahi kukusanya mapato ya chini ya Sh1trilioni kwa mwezi.
 
M

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2018
Messages
2,433
Points
2,000
M

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2018
2,433 2,000
Kweli namuunga mkono kuwa, biashara zilizofungwa ni chache kulinganisha na zilizofunguliwa. OK lakini ajue kuwa, yawezekana zilizofungwa ni zile zilikuwa zinaingiza Trilion na zinzofunguliwa ni za milion. Huoni tofauti?? Hivi kwa uelewa mdogo tu wa waziri hajui kuwa mwanzo ni mgumu??? Tusiumize vichwa, tusubiri muda ndio mwalimu mzuri
Naambiwa jana mteja wetu mmoja (tulimuuzia payroll na loan management software kwa ajili ya kampuni na SACCO yao) imefungwa rasmi. Ilikuwa imeajiri 500+ employees. Na mji mzima hapa Arusha sijasikia kampuni mpya iliyofunguliwa na inaajiri watu 50.
 
Betri yenye chaji

Betri yenye chaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Messages
673
Points
1,000
Betri yenye chaji

Betri yenye chaji

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2012
673 1,000
Mimi mwenyewe sijarudisha leseni yangu ya biashara, naionea huruma serekali yangu ya ccm, mimi ni mwanachama kindakindaki, hata leo nimetoa namba yangu ya kadi ya chama ili itumike kujaza kura hewa uchaguzi serekali za mitaa
 
Forum statistics

Threads 1,295,455
Members 498,335
Posts 31,212,585
Top