Series ya intelligencia ya Bongo

Sawa mkuu
 
The event
 
Upo serious na kweli unaweza kucheza movie
Mkuu ukiwa na nia hakuna kinachoshindikana just cha umuhimu ni kuwa na watu ambao wako serious na kazi na mambo yatakua poa ... Mbona jumba la dhahabu ilikua na waigizaji wengi wachanga na ili hit ile mbaya ..
 
Mkuu ukiwa na nia hakuna kinachoshindikana just cha umuhimu ni kuwa na watu ambao wako serious na kazi na mambo yatakua poa ... Mbona jumba la dhahabu ilikua na waigizaji wengi wachanga na ili hit ile mbaya ..
Sawa ni commitment
 
Tatizo n uuzaji ili ulirudi faida
Mkuu kwa wenzetu kule ulaya episode huwa haiachiwi kwenye air Kama haijarudisha faida so huwa wanafanya ivii baada ya Ku shoot ki episode kimoja wanakuwa wanarusha kwenye cinemax center kubwa duniani... Kwa muda mmoja... Then kunakua na uuzaji wa product mbalimbali Kama vile shirt... Kofia ... Pen na CD ili kupata faida mkuu... Faida ikisharudiii wanaiachia kwenye air then pale watu ndio wanapata muda wa Ku download... Hapa inahitaji management ya uhakika... Ngoja watu wanaojua zaidi waje watujuze mkuu
 
Nashukuru kwa hilo pia mkuu
 
nic idea lakin lazima uwe na mkwanja wa maana kama milion 30 hivi
wasanii lete vichwa vipya kabisa
mada yapo mengi kuanzia bifu za huku madini mereran, panyaroad, escrow, richmond lakin mambo ya kichawi usiweke kabisa
 
Are you sure mkuu??
 
Yaani kwa kuwataja hao watu Tayari imeshamdodea hiyo issue....Yaani MTU unaejielewa unaetaka kufanya Project ya maana ya Film unawafikiria hao watu....Sijui aliwaona wapi wakifanya Movie za namna hiyo...Angesema Movie za viGodolo na Ugoni fasta wangemfaa
 
Series kibongo?Sijui aiseee.
Sio mbaya kujaribu lakini,hata hao wakorea ninaowapenda walianzia mbali.
All the best
Kitendo cha kuwafikiria hao wanaopenda kujiita wasanii Huyu jamaa ameshashindwa kabla hajanzaa
 
Rich na Monalisa walifanya Movie gani ya Maana au sababu wameteuliwa kuwa Majaji wa TMT ule ni Mchongo wamedaka...
 
Mtafute yule jamaa wa vitabu vya Willy Gamba mtegeneze series za uhakika pls usiweke hawa wasanii uliowataja.
 
Ndo nilikua nauliza maana ili series ipate jina na umaarufu lazima kuwepo mastar maarufu!!
Kwani umaarufu wa Bongo ni ubora wa kz MTU anayofanya Wengine ni kashfa za Ngono..sasa ikiwa unataka umaarufu wa namna hiyo sawa waweke.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…