Shukrani mkuu haya ndo mambo yangu!Angalieni Ghosts of Beirut. Kama mlishawahi angalia series ya Spy Netflix, mtaipenda na hii. Inahusu CIA na Mossad hunting for terrorists. Pia inaelezea mwanzo wa suicide bombing na mengineyo.
Ngoja nichungulie trailler kwanza...asanteAngalieni Ghosts of Beirut. Kama mlishawahi angalia series ya Spy Netflix, mtaipenda na hii. Inahusu CIA na Mossad hunting for terrorists. Pia inaelezea mwanzo wa suicide bombing na mengineyo.
shukrani sana nilisubiri kwa hamuWadau wa Top Boy.mzigo wa season 5 umeachiwa!View attachment 2743447
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Hii mbona toka mwezi wa 5 huko wew unacheki leoAngalieni Ghosts of Beirut. Kama mlishawahi angalia series ya Spy Netflix, mtaipenda na hii. Inahusu CIA na Mossad hunting for terrorists. Pia inaelezea mwanzo wa suicide bombing na mengineyo.
Naona kama imekwisha hivi sijui kwanini imekwama, ep 8 ilitoka tangu wiki iliyopitaSeries ya all queens men s3 e8 imetoka...?
E7 ilivyoisha bado kuna matukio mengi kuja kutokea, labda reviews zimedropNaona kama imekwisha hivi sijui kwanini imekwama
Basi inatakiwa uka ombewe kwa mwamposa upewe mafuta na maji 😁 ili ueleweHii series ya Who Is Erin Carter kiukweli sijaipenda kama ilivyo kwa watu wengine..
Hiyo ilipigwa pangaWakuu, series ya shanty town ya ki Nigeria season two wanampango wa kutoa kweli, maana ni kitambo sana
Kwamba haifai...?Hiyo ilipigwa panga
Sio lazima series moja ipendwe na watu wote mzee.Basi inatakiwa uka ombewe kwa mwamposa upewe mafuta na maji 😁 ili uelewe
Hahaha maney heist nliangalia season 1 tuh nkaona hamna kaz hapa..Sio lazima series moja ipendwe na watu wote mzee.
Nikisema sijaipenda Money Heist pia utataka nikaombewe?
Tena upigwe na viboko 10 na ukimaliza upewe chakula ushibe ili ueleweSio lazima series moja ipendwe na watu wote mzee.
Nikisema sijaipenda Money Heist pia utataka nikaombewe?
Ulizingua kinoma nomaHahaha maney heist nliangalia season 1 tuh nkaona hamna kaz hapa..
Walipata hasara sokoniKwamba haifai...?
Kumbe huna akiliTena upigwe na viboko 10 na ukimaliza upewe chakula ushibe ili uelewe