Series (Special thread)

Guys hii series ya The Wheel of Time ni nzuri ila siipendi dialogue yao, sipendi pia attitude ya Nynaeve muda wote ana hasira na kiburi, pia sijaona chemistry ya actors wale watano (Nynaeve, Mat, Perrin, Rand na Egwene) wana claim ni marafiki sana ila ni marafiki jina hawana chemistry kabisa, penzi la Rand na Egwene ndio kabisaaa huyo Rand kususa susa hata haeleweki,

Kwenye season 2 tunamuona Rand yupo na mdada mwingine na ana enjoy kabisa sex ila anasema mawazo yake yapo kwa mtu mwingine kwa maana ya Egwene, upuuzi

Nimeipenda Character ya Perrin angalau ananipa moyo kuendelea kuiangalia pamoja na crew yake nzima inayomtafuta Padan,

Bado sijaikatia tamaa hii new season, i hope mabadiliko yatakua mengi, tuione hiyo the last battle.

Rate: 6/10
 
Ngoja tuone ep zijazo itakuwaje
 
Kama uliangalia Prison Break kuna mwamba kafanya kweli! Nimependa mbinu yake!

Daniel Abed Khalife: Terror suspect escapes Wandsworth Prison​


A former soldier has escaped from Wandsworth prison while awaiting trial for terror and Official Secrets Act offences.

The Metropolitan Police have issued an urgent appeal to trace Daniel Abed Khalife who is believed to have made his getaway on Wednesday morning.

The 21-year-old suspect is alleged to have escaped from the prison - one of the UK's largest - under a food truck, a Whitehall source has told Sky News.

It is understood he was working in the kitchen and was wearing a chef's uniform, and is believed to have held on to straps on the truck to make his escape.

Source: Sky news : 06/09/2023
 
View attachment 2741222

Wazee wa Pirates Stuffs.....
, πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‘πŸ˜… ungekuwa karibu ungeagiza kinywaji chochote nikulipie. Umeniletea series tamu ambayo sikudhani kama ningekutana nayo kwa sasa. Baada ga outer bank kuimaliza sasa naweka kambi hapa



Nikatafute HD sasa maana actions za humu zinaonekana mchana kweupee
 
Katika kitu kigumu chichote kuna weak point ambayo ukiiotea lazima utoboe. Ni kusubiri perfect moment to strike and the rest will be history
 
Ha ha ha ha


Enjoy
 
Unazingua kaka unacheki za netnaija quality mbovu huko sana
 
Mwamba kacheza 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…