Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,221
- 79,744
Kukoboana.
Yule anajua mno series kalii sema upinde unazinguaKwenye Special Ops Lioness kuna mume wa yule mmama( Cathy) ukimsikiliza kwa makini utajua kwa kiasi kikubwa kuna watu wachache sana wanao ratibu mambo mengi sana ya hii Dunia.
Zara mzuri kishenzi sema miyeyushoCruz(Zara) kapigishwa shopping na outing hadi kasahau kazi kaishia kusagana na her mark na kufall in love naye kabisa.
Kama ipo vizuri niambie nataka nishusheWho is Erin Carter?
Ndio nipo episode ya 1
Alimshushia speech nzito mwanae kitandani nikamnyoshea mkonoKwenye Special Ops Lioness kuna mume wa yule mmama( Cathy) ukimsikiliza kwa makini utajua kwa kiasi kikubwa kuna watu wachache sana wanao ratibu mambo mengi sana ya hii Dunia.
Hahaa achana na yule dokta kuna yule dingi mwingine ambae inaonekana naye ni deep state mume wa yule mmama ambaye naye ni C.I.A.Alimshushia speech nzito mwanae kitandani nikamnyoshea mkono
Nimekupata nilidhan unazungumzia yule dakataHahaa achana na yule dokta kuna yule dingi mwingine ambae inaonekana naye ni deep state mume wa yule mmama ambaye naye ni C.I.A.
Alafu mkewe hajamuambia anachoenda kukifanya week nzima, yule mzee ndo anacontrol biashara ya oilHahaa achana na yule dokta kuna yule dingi mwingine ambae inaonekana naye ni deep state mume wa yule mmama ambaye naye ni C.I.A.
Imeishia hapo.Hivi Tom Clancy's Jack Ryan Season 4 ndo imeishia hapo hapo EP 6 au itaendelea mpaka EP 10?
Yule mzee inaonekana ni mafia sana.Alafu mkewe hajamuambia anachoenda kukifanya week nzima, yule mzee ndo anacontrol biashara ya oil
Wa series gani mkuu?Vince Gilligan apewe maua yake aise
Naiongeza kwenye list.Nairudia tena mzigo mtamu hauchoshi
View attachment 2733749
Eleza kdogo kuhusu the wheel of time na unairate vipi!Namalizana na The Wheel of Time, nije niianze hii..... i hope ni nzuri kama inavyosemwa.
Ielezee kdogo mzeeNairudia tena mzigo mtamu hauchoshi
View attachment 2733749
Lugha ipande pia...Mimi nilitembea nayo yote kwa msaada wa subtitles.Kama unapenda kucheka hadi mbavu zikubane tafuta big bang theory