Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,079
- 95,700
Kuna ambayo inaizidi IRIS kwa ukachero na ujasusi kwa huko china na korea?-----UPCOMING KOREAN MOVIE-----
A Man of Reason (2023)
Soo Hyuk who spent 10 years in jail covering for his boss, is finally released. After learning that, during his time on the inside, he has become the father of a baby girl, Soo Hyuk wants to live a normal life with his former girlfriend, Min-seo, and their daughter, In-bi, and cut his ties with the criminal world. But the boss doesn't want to release Su-hyuk. The boss hires an assassin to silence him and the hitman holds Soo Hyuk's daughter hostage.
Casts:
Jung Woo Sung
Kim Nam Gil
Park Sung Woong
Park You Na
Kim Joon Han
Lee Elijah
Director: Jung Woo Sung
View attachment 2703090
Genres: Action, Drama
Release Date: Aug 15, 2023
Leo nimeanza kucheki homeland je ni nzuri jamani wenye kuijua vizuri maana mb naw bei sana nisije poteza mb zangu bule
Kali sana hiyo,Carrie,Brody,Saul na kuna mwamba anaitwa Peter Quin wana balaaLeo nimeanza kucheki homeland je ni nzuri jamani wenye kuijua vizuri maana mb naw bei sana nisije poteza mb zangu bule
Inavyoanza unaweza ukaona wanakupotezea muda,ila ile ndo maana halisi ya ujasusi!Kama ni mpenzi wa ishu za ki ujasusi (CIA) ni nzuri sana…maana kuna akili nyingi sana imetumika.
Mie binafsi ndo sieries nazozipenda ka hizo!
Oyaaa tayari hiyo ngoma nishaishushaKama wkend hii huna muvi tafafhali pptezea muda kwenye hidden strike
Tehran ya moto sana ruka nayo hiyo!Tehran nimeona imepigwa promo kwenye post za 890 huko
Nimeshusha season 1 episode kama 5 hivi.
Ila ngoja kwanza nimalizane na "From" kama hujaicheki itafute ni kali.
Kumbe ujasusi ndio napendaKali sana hiyo,Carrie,Brody,Saul na kuna mwamba anaitwa Peter Quin wana balaa
Iko vizuri hiyo Jack RyanHiv jack Ryan season 4 washatoa episodes ngap...nimedownload mbili napata uvivu kuzianza!
Yeah ziko nyingi,Kuna ambayo inaizidi IRIS kwa ukachero na ujasusi kwa huko china na korea?
Shukrani ndiyo niko nayo hapa,Kama wkend hii huna muvi tafafhali pptezea muda kwenye hidden strike
Kali mzeeIko vizuri hiyo Jack Ryan
Niliona trailer, wame jita hidispecial ops:lioness ya moto sana ,episodes 3 zishatoka!