Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,465
- 14,608
InaitwajeHii series ni kali hapa rate 9/10 haisifiwi sana sabb sio ya wamarekani ila kama unapenda series za kijasusi, kama umewai kuangalia HOMELAND, THE AMERICANS na ukazipenda basi huu mzigo unacheza humohumo
Season 5 episode 50 View attachment 2699594
THE BUREAUInaitwaje
Duuuh!Brave
Sing
Trorll
Smallfoot
Adventure of tintin
Arcane
Zootopia
Light year
Ok poa kuna uzi nilionaga unasemea kuhusu bamia kama inasaidia vidonda vya tumbo maana tumbo vidonda vinaniuma sio powa je izo bamia natumiaje😭😭Duuuh!
Zote hizo nimeziona
Itafute the big bang theoryDuuuh!
Zote hizo nimeziona
Pole sana,Ok poa kuna uzi nilionaga unasemea kuhusu bamia kama inasaidia vidonda vya tumbo maana tumbo vidonda vinaniuma sio powa je izo bamia natumiaje
Asante sana ngoja nianze dozi maana vilinibana hadi nashindwa kutembeaPole sana,
Bamia unachukua kama tano hivi, unakata kata vipande vidogo, unaweka maji kikombe cha chai kimoja, unachemsha kwa dkk 3 unaweza kuweka chumvi kiduchu sana kutafuta ladha, pia zinapochemka unaweza kuziponda ponda zilainike ili iwe rahisi kunywa.... zikipoa utakunywa pamoja na mchuzi wake yaan kwa lugha nyepesi utakula mlenda wa bamia, kwa siku mara 2..... endeleza dozi kwa siku 30 kisha ujipime kwa vyakula vinavyokukataa kama bado endelea kwa 30 nyingine.
:Kwenye huo uzi nimeelezea matumizi yake kwa kirefu.
Niliumwaga vidonda vya tumbo form 5 ndo vilinianza vilinisumbua sana , ila nilivyokuja kupona mpk leo sielewi ilikuaje mpk nimepona, kuna mtu nilimwambia hii akaniambia dawa ya vidonda vya tumbo ni kuvipotezea tuu hutakiwi kuviendekezaAsante sana ngoja nianze dozi maana vilinibana hadi nashindwa kutembea
Animation sijaangalia mwaka huu, hapa ndio nataka nianze kufyeka moja mojaNiambie animations zingine nzuri
Kuna interview ya kibabe imefanyika hapo kwenye episode1 nimeikubaliMzigo wa moto kabisa episode mbili kali.View attachment 2697073
Usijali. Mi huwa siwezi kusubiri mpaka iwe complete ikitoka episode moja naruka nayo.
Ni noma chief.Kuna interview ya kibabe imefanyika hapo kwenye episode1 nimeikubali
Kuna hii Mavka: The Forest Song,Animation sijaangalia mwaka huu, hapa ndio nataka nianze kufyeka moja mojaView attachment 2699800
Hiyo Nimona nasikia ina ushogaKuna hii Mavka: The Forest Song,
Wamenikumbusha enzi za Pocahontas,
Nimona,
Mummies,
Entergalactic (hii ya kikubwa sana usiangalie na watoto)
This year hawajatoa animations kali kiukweli.
Hizi takataka gani tena banduguAnimation sijaangalia mwaka huu, hapa ndio nataka nianze kufyeka moja mojaView attachment 2699800
Vidonda kama havitapata tiba vinaleta kansa ya utumbo au kuua.Niliumwaga vidonda vya tumbo form 5 ndo vilinianza vilinisumbua sana , ila nilivyokuja kupona mpk leo sielewi ilikuaje mpk nimepona, kuna mtu nilimwambia hii akaniambia dawa ya vidonda vya tumbo ni kuvipotezea tuu hutakiwi kuviendekeza
Zipite tuHizi takataka gani tena bandugu
Elemental haijatoka kweli mbona kama niliona inatangazwa June.... nahisi hata mimi itakua kali full comedyHiyo Nimona nasikia ina ushoga
Nimeangalia trailer la "ELEMENTAL" Inaonekana itakuwa kali sana. Hiyo ndio naisubiria kwa hamu