Series (Special thread)


Asante kwa recommends iko vzr nmeipenda
 
Nimeipita Sana naenda kuicheki now
 
Ole wenu nichome bando kumbe ni ya kipuuzi.

Anyway inakaribiana na breaking bad?
Mkuu hapo utachoma tu. Mi niliangalia episodes kadhaa za season 1, kwa kifupi sijaielewa.. haifikii hata kidogo utamu wa Breaking Bad (usijiangaishe hata kulinganisha).

Ila fun fact kuhusu series ni kwamba some of 'em ziko person-oriented, yani baadhi wanaweza ikubali wakati wengine wasiielewe.

Hope unaweza ielewa, ila kwangu mimi Godfather of Harlem, hapana aisee!
 
Naomba series moja tamu maana nimeangalia episodes mbili za berlin station ni upumbavu mtupu na ushoga
 
Bumpy ni zaidi ya Ghost.
Tafuta mzigo mwingine unaitwa GANGS OF LONDON.Gangs zinapasuana humo hatari.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…