Series (Special thread)

Opening scene yake imekaa poa sana ila huku mbele Bado sijaisoma labda ep ya 2
THE LAST OF US ni zombies series tu ila badala ya watu kuwa infected na virus wao wako infected na fungus.

Labda kuwe na story tofauti na vitu vingine la sivyo itakuwa ni kama walking dead 2.0
 
Fauda 4
Imekuwa nzuri

Mkuu wa Mossad kadanganywa na kijana aliyemkuza kama informant.....
Mwisho kauliwa kimakosa

Mwili umepelekwa Lebanon

Mossad wanatafuta mbinu ya kumrudisha

Man let me check it
 
Kabla Gabi hajauwa aliteswa akatoa list ya all informants

Hezbolla na Hamas wakaanza waua

Sasa wameingia ndani ya Israel na kuanza ua Shinbets
 
Gabi alitoa all information, hivyo imebidi Team nzima ya Eli ihamishwe makazi
 
Fauda Season 5 inaweza tokea maana kikosi kizima kimepigwa risasi na haijulikani kitatokea nini

Gabi aliokolewa Lebanon
 
Kabla Gabi hajauwa aliteswa akatoa list ya all informants

Hezbolla na Hamas wakaanza waua

Sasa wameingia ndani ya Israel na kuanza ua Shinbets
Link please hasa Telegram kama wameshaupload
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…