Fauda Season 4
January 20
Low quality ingia hapaWadau naomba kufaamishwa, je? hizi ni 'series' mbili tofauti!
Kama ndio naomba 'link ' ya kupakuwa hii series ya juu.View attachment 2471080
View attachment 2471081
Kwa high quality nakushauri ingia torrent.Wadau naomba kufaamishwa, je? hizi ni 'series' mbili tofauti!
Kama ndio naomba 'link ' ya kupakuwa hii series ya juu.View attachment 2471080
View attachment 2471081
Huwezi juta Io Iko pow sanaKuna hii the Rig bonge la series
Fauda tuliza akili tu, bonge moja la series...Jan 20 tunaisubiri season 4Wakuu ndio naanza kuangalia FAUDA. Mnaweza kuni highlight kidogo
Ndio niko episode ya 4Fauda tuliza akili tu, bonge moja la series...Jan 20 tunaisubiri season 4
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Ila hii kazi ya kusoma subtittles ni ngumu sana asee
Weeeee acha irudi maan Kwa vibe lake balaaaFauda tuliza akili tu, bonge moja la series...Jan 20 tunaisubiri season 4
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Kama sikosei mimi nilipata yenye Dubbing ya english hapo kuna baadhi y scene ni hebrew na arabic. Sina uhakika 100% mana niliangalia muda sana. Nitaconfirm baadaeIla hii kazi ya kusoma subtittles ni ngumu sana asee
Hapa umetupanga KakaYaani hakuna season ambayo sijaona mpka sahivi nafkiria sijui niangalie nini
Inahusu mambo ya heistInahusu nini? Nimeangaloa the Quest hata sijaielewa kuna vipande imekaa kitoto sana.
Waliponiboa ni wale watoto. Nikaona ni km ya kitoto kitoto watu hawako serious kbsa. Kuna series ukianza kuangalia mpk unapata hamasa.Inahusu mambo ya heist
Nasema ukweli mkuuHapa umetupanga Kaka
Duuh! Sema walikaa sana mpaka nikadhani wameamua kuupotezeaFauda Season 4
January 20