Series (Special thread)

Kwani series zinazoitwa Tehran zipo ngapi wazee maana mnachanganya mnavyosema mmeziona mpk season ya 3 wakati Tehran iliishia season 1 episode ya 8 ndo tunasubil season 2 ,labda kama nyingn tofaut na hii inayozalishwa na Apple
Mimi mwenyewe nimeishia season ya kwanza episodes 8,,

Comments za hapo juu imenibidi niende google nikuulizie,, Apple TV wanadai season 2 itaanza rasmi mwezi May mwaka huu
 
Kama ulizipenda hizi
Breaking bad
Power
Narcos
Gomorrah
Ozark utaipenda zaidi ni moja kati ya series kali sana tunasubil mwezi wa 4 mwishoni tunamaliza season ya mwisho
Breaking bad niliielewa sana...
Power nimeicheki season zote 6..
Jana nimetoka kuimaliza Power book II .

Hiyo Gommorah nayo niliishia njian acha niifufue...

Vip Sopranos umeicheki?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…