Series (Special thread)

Kwa ufupitu
Kuna jasusi wa MI6 aliacha iyo kazi na kujishughulisha kulea familia yake na kazi nyingine za kawaida lakini alizaa before na mwanamke mwingine mtoto wa kiume. Sasa siku anapigiwa simu anatakiwa akasafishe makosa yaliyofanywa na majasusi wengine akiwemo mwanae wa kiume na anaambiwa mwanae wa kiume ameuliwa... Mwanzo alikataa lakini wakamwambia tutaua familia yako so jamaa anaenda lakini anafika baada ya kuua majasusi wengine anagundua mtoto wake hajauliwa na kuna siri nyingine nzito ambazo walidhani ni mission za UK kumbe za kikundi cha watu wazito wenye maslahi yao binafsi kwenye issue za nuclear.
I hope nimekupa picha kidogo
 
Thanks brother huwa nafatilia sana post zako ukisema hiyo chuma nzuri huwa nafatilia so ngoja ni shushe nianze nayo pole pole
 
Scandal ni nzuri zaidi.... akina Olivia Pope na kile kitengo chao

The Oval huoni hata hiyo nafasi ya Rais, hakuna hata kikao na safu yake ya uongozi yani inaboa kwa kweli.
 
View attachment 1945332
Hii series ikuwa inaitwaje wakuu
Hahahha wakongwe kwenye tv shows ndio tunaijua hii inaitwa Renegade miaka iyo ya 90 ikigiizwa na playboy mmoja anaitwa Lorenzo Lamas ilikuwa sikosi ITV kipindi iko alafu kuna vitoto humu vinakwambia series hii kali kuliko hii ukimuuliza sababu hana sababu ya msingi 🤣🤣🤣....Nabaki kuwadharau tu
 
Quantico hamna kitu hapo tumepigwa
 
Mimi nilizoangalai na kuvutiwa ni
Gray's anatomy
Scrubs
Angle's of mercy
Prison break
Med series ambazo nimevutiwa Nazo ni
New Amsterdam
Chicago med (hizi ni my favorite series).

PRISON BREAK NI UNYAMA SANA huwa naingalia Sana hii series khaa!
 
New Amsterdam ni bonge moja la show nampenda dr Helen...she’s cute, halafu kwann jamaa hapo hapend Quantico?

Halafu sasa pamoja na kuigiza kama Oncologist, hana ujuzi wowote wa kitaalamu kwenye sekta ya afya.

Na wengi unaowaona pale sio madaktari na wala hawajasomea sekta yeyote inayohusu afya.
 
Halafu sasa pamoja na kuigiza kama Oncologist, hana ujuzi wowote wa kitaalamu kwenye sekta ya afya.

Na wengi unaowaona pale sio madaktari na wala hawajasomea sekta yeyote inayohusu afya.

Yeah nashangaaga wanawezaje kuna ile The Resident yule resident ambae dr devon anasema nae hajui chochote... ni scripts tu mzee wanapewa wanaongea kama ilivyoandikwa

Kali zaidi ni Shonda rhimes yule mwanamama kaandika The Grey’s anatomy...Medical drama ambayo ni one of the best japo hana taaluma yoyote ya medicine, huwa wanafanya research sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…