Series (Special thread)

Hii kwa kifupi inahusu kwamba watu wanavyokuwa kwenye public au social media and they way wanavyoishi maisha yao wakiwa ndani mwa vyumba vyao na kwenye jumba la white house hayana uhalisia wowote ndio hii series ilipolenga kwa ujumla so humu kuna matatizo yanayotokea ndani ya white house yanayomuhusu raisi wa Marekani, mkewe, watoto wa raisi, wafanyakazi wa white house na wana usalama wa white house na kumake sure izo siri za hayo matatizo hayatoki na hakuna mtu wa kuvujisha nje na ikitokea mtu wanamuona snitch kwenye izo siri anapunguzwa kwa kuzibwa mdomo iwe hai au mfu
 
Asante🙌🏻
 

basically ni Scandal iliyopooza
 
Tukutane hapa kwaajili ya kudiscuss action dramas za kichina,kikorea na kizungu
 
Ni maoni yako na hatuwezi kukuforce upende maana ukiulizwa why imepooza utatoa sababu za kijinga na sina mda huo

Come on man, namuheshimu tyler perry ila ile show the way they shot it inaonekana cheap based on fantasy for starter ina rate ya 4/10. It’s just neither a great show nor a bad one iko okay i guess
 
Come on man, namuheshimu tyler perry ila ile show the way they shot it inaonekana cheap based on fantasy for starter ina rate ya 4/10. It’s just neither a great show nor a bad one iko okay i guess
Hayo ni maoni yako mkuu na pili ukitumia neno "INAONEKANA" it means huna uhakika bali unakisia kitu ambacho pia sio kizuri kabisa kwenye kujudge kitu.

Tatu huko nyuma nilishawahi kuuliza wanaotoa rate mnajua wapo wangapi? Wana upeo gani? Hakuna aliyejibu humu hadi wewe so siamini kwenye rate mimi naamini kwenye story yake kama inanivutia naangalia au sio napotezea sitakiwi hata kumponda mtu au iyo series maana kuna watu wanaifuatilia kibao.

So usiforce kitu usichokipenda kwa kutoa sababu ambazo hazina mashiko mara imepooza, mara rate ndogo, mara ipo cheap ila hakuna sehemu uliosema story mbaya.

I hope hatuna la kudiscuss
 

Rate si sisi registered watazamaji na critics ndio tunaotoa marks ndg yangu, nazungumzia IMDb mm mwenyewe nsharate movies & shows kuna uzi ule wa Movie reviews watu wana rate
 
Rate si sisi registered watazamaji na critics ndio tunaotoa marks ndg yangu, nazungumzia IMDb mm mwenyewe nsharate movies & shows kuna uzi ule wa Movie reviews watu wana rate
So kama wewe upo registered na una rate movies kwa points zako za hapo juu basi naendelea kuprove kwamba hamna upeo wa movies bali mnatoa maoni yenu binafsi.
Ngoja nikuonyeshe why siamini rate:
Nyie IMDb users mmeipa 4/10.
Google users wameipa 85%.
Premier date users wameipa 8.2/10 na angalia voters hapo wanaonyeshwa kabisa kuliko sehemu nyingine hatuonyeshwi idadi yao. Sasa jiulize voters hao ndio wa kuamua hii movies nzuri au mbaya



 

Mkuu voters IMDb wanaonyeshwa kuwa ni wangapi na comments zinaonekana , angalia Hiyo Premier Date review like seriously
kuna voters 66 kwahiyo aggregate yake lazima iwe subjective. Halafu mm natoa reasons kwamba kwanini hiyo show sio nzuri kama unavyoisema ila wewe hautoi sababu zako zaidi ya kwenda against na kila nnachokisena na kuniambia cjui kitu mara sina upeo una ni attack personally.

Nakupa facts ile show it’s not an Original Mind blowing f*cking story nah, kuna show Scandal imetangulia mda na ni bora zaidi kuna character anaitwa Olivia Pope watu wanamtumia hadi kwenye pop culture references ukiona hivyo ujue show imetulia mpaka ikatoa iconic character.

Kiujumla rate ni popular opinion kwamba watu wengi wanasema hivyo inakuwa kama sample ya kuwawakilisha wengine, sishangai kama wewe hauko kwenye hiyo popular opinion maana hiko hivyo haiwezekan wote tukakubaliana kwa kila kitu basi JF ingekua ya idiots.
 
So watu 66 tuseme kati ya watu bilioni 7 na uchafu dunia nzima ndio wanachukua maamuzi ya kutusemea dunia nzima kwamba movies or tv shows hii mbaya na hii nzuri
? Kweli? Uyo Tyler Perry si angesitisha kwa kuona watu wanaiponda na ingemletea hasara?.

Sipendi mtu anaekariri napenda mtu anayejiuliza why hiki kipo hivi na hiki hakipo vile? Ila wewe umekariri kwamba hii system ipo wacha tufuate Ivo Ivo kumbe sio kweli maana reasons zako HAZINA MASHIKO kwamba hii series ipo cheap, mara imepooza, mara isn't an Original Mind blowing f*cking story kwa kuifananisha na Scandal ya Oliver pope, kwani The oval na Scandal zina story zinazofanana?, Budget zipo sawa? na characters ni walewale? Mbona sioni uwezo wako hapo wa kitaalam kwenye uchambuzi wa series au mnaharibu tu kazi za watu?. So sababu ulizotoa sio facts bali ni maoni yako binafsi na sio facts za maana za kuconvince watu wanaojielewa.

Popular opinions za watu gani wakati watu tunapenda vitu tofauti? Kila mtu hapa tukianza kutaja series kali kila mtu atakuja na series zake bora na hata zako wewe bora kwa mwingine mbaya. So popular opinions wa Google users ni 85% wameipenda, premier date viewers wameipa 8.2/10 ni mbaya hapo kimahesabu ila ulipokuwa registered wameipa 4.2 so huoni Kuna sehemu inapendwa na sehemu hawapendi? Huna uhakika gani hao baadhi ya users si wabaguzi kwa kazi za mtu mweusi? Chuki ya biashara? Wanapenda Genres hizi ila tv shows zenye genres hizi wanaponda? Wanasifia kazi za nchi zao ila kazi za nchi nyingine wanazishusha thamani ili waonekane juu?

So kuna watu hapo wameulizia hadi links ya oval season 2 ina maana hawajasinzia tangu season 1 mpaka ya 2 kwa kupooza kwa iyo tv shows kama ulivyosema ni SCANDAL ILIYOPOOZA? Ndugu yangu kama tumekuwa mazingira tofauti hatuwezi tukapenda vitu sawa so kutopenda kwako series hii hakukufanyi mtu mwingine asiangalie iyo series.

Ungesema sijaipenda kwa upande wangu hata tusingefika huku maana naheshimu maoni binafsi ya mtu na unaongelea umimi ila sio unachoongea kinawakilisha maoni ya watu wote duniani that why watengeneza movies and tv shows wanafanya uchunguzi kwanza na katika uchunguzi hadi tv shows kutoka hawaangalii IMDb wameponda nini kwenye season ya 1 maana wangesitisha ila wanaangalia inalipa na kitu kulipa it means raia wamekikubali na sio watu wa IMDb wanapondaje iyo tv shows.

Kama hujaelewa nilichoandika basi utakuwa mbishani na sitotaka kuendelea na wewe maana tupo tofauti sana au ulimwengu tofauti.
 

Finally leo umeandika vitu vinavyoeleweka maana wewe jamaa unakuwaga mbishi na una attack watu sema leo uko fresh, well spoken


Sema kuweka vitu sawa sio The oval siiependi hapana naiona ya kawaida sana nothing special. Ni mtazamo wangu though IMDb ndio iko popular kwa ratings hizo nyingine sio sana, na hiyo hating ya blacks ipo wanatupaga ratings mbaya sana.

Kuna mtu ni white ass registered user wa IMDb akiona Tyler perry anatoa one star bila kuuliza kisa he/she is racist, japo kuna wengine wanatoa bad reviews anatoa na reasons unajua kabisa kaangalia na hajapenda so Generally yeah kuna both sides
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…