Series (Special thread)

Baada ya series ya Power kwisha na Ghost kufa nikajua hakuna jipya akina 50cent wanataka kutuletea kwenye miendelezo yake

Juzi nikaona ngoja niisgushe Power Book II: Ghost
Aisee wamehitahidi sana sana sijajutia mb na muda wangu

Humo ndani Tariq, Mary J Blige, Method Man wamefanya vizuri sana

Kama ni mpenzi wa Power check na hii
 
Power zipo Book II,III and IV
Ambayo book II inahusu maisha ambayo Tariq anasurvive mtaani na nyingine itamuhusu maisha ya Ghost & Tommy ya utotoni hadi kufikia hapo na nyingine itamuhusu maisha ya Tommy pekee baada ya ghost kufa ana survive vipi mtaani so ni mwendo wa kuenjoy tu Ghost
 

Mm naiona kali sana kuliko power yenyewe yan
 
Inayofata itahusu maisha ya KNAAN {50 cent}
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…