Series (Special thread)

Tuvumiliane tu mkuu wengine hata mwezi mjini hatuna.
Unaweza download manually kutoka
Subscene.com (ila zingatia zile code za video huika mfano bluray , webrip x264, n.k)

Njia ya pili ni automatic kupitia VLC kuna extension inaitwa VLSub ipi kwenye VLC na ikiwa haipo unaweza kuiadd kwa vlc

Hii unagusa tu inakuletea substitpe zote zinazoenda na video husika.

Ushauri wangu:. Tumia vlsub
 
Shukurani mkubwa.
 
Nina vlc ila haina hyo vlsub unaiadd vp mkuu.
 
Huwa nikidownload muvi alafu nikaplay via vlc kuna option ya online subtitles bt mara zote nikisach huwa inasachi mwishowe inarespond no subtitle found. Nimeshajaribu muvi mbalimbali nilizodownld telegram etc.
 
Sure
Achana nayo kama inakukera! Angalia hata futuhi!
Sawa mkuu
 
Inahusu nn mkuu, tupe hints kdg
Snowpiecer... Moja ya series nzuri sana

Inahusu maisha ya baadae kunatokea na baridi kali duniani, hivyo kufanya watu kukosa makazi ya kuishi,wakati baridi kali hilo linatokea kunatokea na Train moja kubwa sana ambayo inazunguka dunia, so ili ujisalimishe na baridi hiko inakubidi upande hiyo Train inayozunguka duniani, na ndani ya Train hiyo kuna classes za maisha, kuna low life, medium hadi high life ndani ya hiyo hiyo Train...

Wakati Train hiyo ikiendelea kuzunguka dunia na baridi likizidi kuwa kali, ndani ya Train hiyo yanaanza kutokea mauji ya watu mbalimbali hivyo inapelekea mmiliki wa Train hiyo ambaye ni mwanamama kutafuta detective wa kuchunguza vifo vya watu hao,,,kwenye hiyo Train detective anapatika kwenye low class...

Hadi sasa mzigo uko na season 1 complete, na season 2 ndio ipo ongoing...

Moja ya series nzuri sana, Hii Snowpiecer miaka ya nyuma huko walishawahi kutoa movie yake nayo inaitwa hivyo hivyo Snowpiecer ya Christ Evans!!
 
Haa Shukran mkuu kwakweli imenivutia nitaitafutia mda niichk
 
Mzigo mkali sana huu nimecheki series zaidi ya 209 nilikuawa sina cha kuangalia nikaitafuta hii ikanifaa zaidi nikiamliza Nina arosto na breaking bad nataka kuirudia now sina cha kucheki
 
Hivi wadau? Prison Break ndo iliisha vile!? maana season6 episode ya mwisho niliona Tberg akikutana na mubaya wake yule afisa wa FBI gelezani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…