Series (Special thread)

Hata kama haupendi Series za masuper heroes,huwezi chukia hii:THE BOYS,moja ya series kali kutoka AMAZON

Nlivyoanzaga kuicheki, ilinishida episode ya kwanza tuu, nikaitema. Nilipowapa madogo zangu waione, wakasema nzuri. Wakanipa moyo kidogo. Mwaka mmpja baadae, nikaanza kuiangalia tena. Pisode one nimeona zaidi ya mara tano, na nilipokuja kuendelea, ndio nikaona uzuri wake.

Kama hupendi superheroes, tazama hii mambo. Utafurahia maisha. Maana kuna kila ambacho superhero movies wanazinguaga.
Nzuri sana.
 
Mi napendaga kilicho bora. Ndio maana ninaipenda sana Power (2014) na nilibahatika kuitazama tangu wapo season 1 episode 3.

Niliwafikia faster na nikawa natazama kila wiki mpaka ilipoisha, Season 6 episodes 10+5.

Sasa wana book II, ah, moto wake sio kiviile.

Ila ni fan mzuri sana wa The Flash, kila wiki mzee, wale ni wanangu wa ukubwani, kama vile ninavyoangaliaga shows za Trevor Noah..za Daily Show. Au The Thunderman (Sitcom) ya Nickelodeon

Washkaji zangu wengine ninaowaelewa ni Westworld (2016) akili nyingi
 
Superhero nyingine ya mavel inaitwa
Daredevil hiyo pekee ndiyo nimewahi kuiangalia jamaa mmoja kipofu lakini anapiga mkono Ile mbaya
 
Gabrielle Union, namkubari pia, humo kwenye MaryJane alifanya poa sana, nmeangalia mzigo wote, season 5
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…