Series (Special thread)

Series za Sci-fi huwa siziachi hivi hivi.. Asante kwa info
 
jamani wa comedy hamna? nimeishiwa stock

Nimeangalia the office na kuirudia kama mara nne, sillicon valley

Naombeni series za comedy
Tafuta young sheldon... Na amin utanikumbuka maisha yako yote...

Ukimaliza nenda bing bang theory( muendelezo wa young shedon)... Nayo ukiingalia yote utatamni kukutana na mm
 
Wapenzi wa drama za perry tyler tujuane kabisa...

Kama unapenda drama angalia hizi za perry tyler

1. The oval..
Series inaelezea kuhusu familia ya rais wa marekani ilivyokuwa na maisha vya ovyo ndani ya ikulu ya marekani.. Bonge moja ya drama.. Nakushauri itafute mapema

2. If loving you is wrong
Inaelezea marafiki 5 jinsi maisha yao na misuko suko.. Humu full kusalitiana... Series bora kwanfu kuwahi kuitazama

3. The haves and haves not... Series inaelezea binti wa kimasikini akitafuta utajiri kwa hali na mali kwenye familia ya kitajili

4.Sistas
 
Sistas humu ndani kuna uhalisia wa mahusiano sana bila kukosa comedy za hapa na pale.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…