Kwangu Mimi katika series Bora za Netflix zenye story nzuri, za muda wote tangu niangalie series zao na kukufanya ushangae na kujiuliza mda wote Basi ni MONEY HEIST & DARK....
Hii Dark nilidownload season zote 3 nikaweka kiporo nikaanza nayo kuanzia alhamisi ya wiki iliyopita hadi leo nipo S03e07 si mchezo mzee hadi unasema hii ndo series sasa ya mtu mzima kukaa na kuangalia sio series hata mtoto mdogo akikaa unajua mwisho wa siku itaishia wapi.... Hapa netflix na wajerumani wamecheza Sana naipa 9/10 kwa upande wangu.
Daaah!Inaboa,kwa mtu anayeelewa series asipoteze mda kudownload the wire,atajikuta na matarajio makubwa kumbe series ya kawaida!
Yakawaida sana mkuuI recommend outer banks!
Ni series inayomuhusu kijana John B anayeamua kuingia mzigoni kutafuta dhahabu ambazo zilizama na meli ya matajiri (royal merchant) miaka 150 nyuma na kipnd chote hcho watu mbali mbali wamejrbu kutafuta ikiwemo baba yake aliyespend 20 yrs kuresearch na alifariki kwa kupotea kutokana na issue hyo...
Ina season 1 imetoka april 2020 and soon season 2 itatoka.!! View attachment 1570157
DARK CYO ZOMBIE????Kwangu Mimi katika series Bora za Netflix zenye story nzuri, za muda wote tangu niangalie series zao na kukufanya ushangae na kujiuliza mda wote Basi ni MONEY HEIST & DARK....
Hii Dark nilidownload season zote 3 nikaweka kiporo nikaanza nayo kuanzia alhamisi ya wiki iliyopita hadi leo nipo S03e07 si mchezo mzee hadi unasema hii ndo series sasa ya mtu mzima kukaa na kuangalia sio series hata mtoto mdogo akikaa unajua mwisho wa siku itaishia wapi.... Hapa netflix na wajerumani wamecheza Sana naipa 9/10 kwa upande wangu.
Umeangalia yote?Yakawaida sana mkuu
Hapa nanipo season 3Umeangalia yote?
Mkuuu in the dark au DARKDARK CYO ZOMBIE????
Ahahah! Outer banks ina season moja tu mpka sasa mkuu!Hapa nanipo season 3
Naongealea the wire mkuùAhahah! Outer banks ina season moja tu mpka sasa mkuu!
Ah sawa mkuu! Kuna mdau anaisifiaga! Mm nnayo ila bado sijaanza iangalia.Naongealea the wire mkuù
Vip hyo Dark je yakwenda??? Mie ndio nacheki breaking badAh sawa mkuu! Kuna mdau anaisifiaga! Mm nnayo ila bado sijaanza iangalia.
Dark nzuri sana ila lugha iliyotumika ni kijerumani!Vip hyo Dark je yakwenda??? Mie ndio nacheki breaking bad
Kama hujui kijerumani imekuwa tabuDark nzuri sana ila lugha iliyotumika ni kijerumani!
Kuna Subtitle unasoma!Kama hujui kijerumani imekuwa tabu
Sawa mkuuuKuna Subtitle unasoma!
Hiyo kwakweli nimeangalia season 3 kwa tabu sana!Nimefika kote huko kwasababu nilishusha zote kwa pamoja lasivyo nisingefika huko!Ah sawa mkuu! Kuna mdau anaisifiaga! Mm nnayo ila bado sijaanza iangalia.
Hebu ichambue kidogo tupate preview.. Maana sisi wengine mpaka tupate uchambuzi kidogo ndio tukaitafute.Angalia strange things utafurahi
Hebu ichambue kidogo tupate preview.. Maana sisi wengine mpaka tupate uchambuzi kidogo ndio tukaitafute.