mboperatransy
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 316
- 1,293
Terrarium tv mara ya mwisho kuitumia nakumbuka walitumia notice inafungwa.
Kuna Alternative yake Titanium Tv, ambayo ni clone yake
View attachment 1293494View attachment 1293495
Ivar anainogesha sana series
Vipi ushacheck season 6?
Zipo nyingi tu 1.ipo ya Amber luti 2.menina zote HDNyingine sijui namimi natafuta kweli zenye kwichi kwichi
hizo series unazozitaka ww kaangalie STARZ. ikishindikana huko website kibao za porno zipo...Hivi HBO wana series ambayo aina kwich kwel mi sijawahi iona zote zina hatar
Sent using Jamii Forums mobile app
...Vikings ni treue story ...kila Character anayetokea ni potrait ya aliyekuwapo sio kama fiction ya GOT Sigurd Son of Ragnar,Hivtserk, Ubba ... ila waliofanikiwa zaidi ni Bjorn the Ironside na Ivar The Boneles ..,, ila GOT ni fictitious....mfano tunapeonda season 6 ..MTAFUTE prince Oleg prophet.. aliexist kipindi hichohicho ambachoIvar anafukuzwa na kaka yake Bjorn ambaye ndio ametengeneza na kuweka muundo wa utawala wa scandnavian coutries.Series yoyote yenye madragon naipuuza. ts only about taste nd preference simanisha kua GOT haifai
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah mzee hii kitu ni htr sn.. Nadhan Jack Bouer maisha yake yote ya uigizagi yamekomea hapa kama ilivyo kwa harry potterHello Guys,
Kwa mwenye Series ya 24 Season 1-9 na yupo Dar anijuze. Nikicheki kudownload itanitafuna bando la kutosha.
Msaada tafadhali
Itafute app ya torrentvilla nadhan haipo playstore.. Ina quality nzur sana ya movie na tv series.Nimemaliza kuangalia series ya YOU Haina kwichi kwichi wala nini maana huoni hata wakiwa naked sema ni bonge la series nimeipenda idea yake.
Sema naomba kujua hii site ya 0ztv series ni kwa ajili ya kuangalia kwenye simu tu maana haina quality nzuri ya HD ingawa zinaandaliwa HD?
Hapa sina namna ngoja nipambane nayo kudownload tu.Dah mzee hii kitu ni htr sn.. Nadhan Jack Bouer maisha yake yote ya uigizagi yamekomea hapa kama ilivyo kwa harry potter
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemaliza kuangalia series ya YOU Haina kwichi kwichi wala nini maana huoni hata wakiwa naked sema ni bonge la series nimeipenda idea yake.
Sema naomba kujua hii site ya 0ztv series ni kwa ajili ya kuangalia kwenye simu tu maana haina quality nzuri ya HD ingawa zinaandaliwa HD?