Ongeza na hii PennyworthWu Assassin ni hatari
The BestKuna mzigo mpya unaitwa Wu Assassins wa netflix
Ambae ashaucheki anipe mrejesho
Iko Moto snaThe Best
Umedownload kwa kutumia nini??Wu Assassin ni hatari
Kuna mzigo mpya unaitwa Wu Assassins wa netflix
Ambae ashaucheki anipe mrejesho
O2tvseries.comUmedownload kwa kutumia nini??
Nimejaribu kwa index of imegoma
Kuna mzigo mpya unaitwa Wu Assassins wa netflix
Ambae ashaucheki anipe mrejesho
bansheeNimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.
Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.
Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.
1.Leverage
2.Breaking bad
3.Prison break
4.Burn Notice
5.Lost
6.Revolution
7.How to make it in America
8.How I met your mother
9.Martin
10.Community
11.Walkind dead
Hizo ni baadhi tu..
UPDATES ZA SERIES TOFAUTI KUTOKA KWA WACHANGIAJI KWENYE THREAD.
New tv series nnazozipenda.
1.The last kingdom
2.Narcos
3.Quantico
4.blindspot
5.the bastard executioner
6.limitless
7. jessica jones
8.the returned
9.Tyrat
10.Power
Angalia hapa https://agath64a.blogspot.com/2019/08/download-movie-animation-na-series.htmlUmedownload kwa kutumia nini??
Nimejaribu kwa index of imegoma
Banshee leo? Mzigo wa kitambo huoAngalieni BANSHEE ina mkono wa kibabe sana.
Banshee leo? Mzigo wa kitambo huo
Yule bwana Lucas Hood(Anthony Star) unamkuta tena kwenye The Boys 2019. Mzigo umetulia sana nao ule.Banshee leo? Mzigo wa kitambo huo
Mkuu enzi inatoka watu tuko shule boarding.Banshee leo? Mzigo wa kitambo huo
Queen of the south ipo vizuri ?Homeland ni series moja hatari sana, kwa upande wangu huwa narudia nikikosa cha kuangalia. Nyingine ni
THE LAST SHIP
QUEEN OF THE SOUTH
PRISON BREAK
o2tvseries.comJaman Mwenye Link ya Money Heist S03 anisaidie Link maan nshaitafuta sana naikosa