Niliiangalia mkuu iko poakwa wale wapenzi wa comedy series, pakua "orange is the new black" season 7 ndio final season.....View attachment 1164865
Hii inahusu nini mkuu?By the order of PEAKY FUCKING BLINDERS S5 ipo njianView attachment 1165906View attachment 1165907View attachment 1165908View attachment 1165909
aisee pamoja mkuuNiliiangalia mkuu iko poa
Ukitaka kuona nyingine yenye story kama hiyo icheki Wentworth prison
Kwangu mimi naona Wentworth story yake na mikasa ni zaidi yaOrange....
aah!!aise hiyo series nilishindwa hatakumalizia.ni ovyo ila ni kwa maoni yangu..haiwezekani the source ya kutatuwa matatizo ni mmoja tu bila yeye mambo hayaendi.....ni sawasawa na series ya "BLINDSPOT" haziendani na uwalisia kabisa yanImewekwa pending..View attachment 1171951
mimi mwenyewe sijashituka sana kwa mzigo huu kuwekwa pending...aah!!aise hiyo series nilishindwa hatakumalizia.ni ovyo ila ni kwa maoni yangu..haiwezekani the source ya kutatuwa matatizo ni mmoja tu bila yeye mambo hayaendi.....ni sawasawa na series ya "BLINDSPOT" haziendani na uwalisia kabisa yan
Haujatafuta chief.Jaman Mwenye Link ya Money Heist S03 anisaidie Link maan nshaitafuta sana naikosa
Hatujui 'Genre' flavour yako ipo kwene nn? Maana kuna mdau kaiponda...La casa De Lapel hii season three ni qali??
Bro jitahidi uvuke hio season 2 mbele ni ya moto kinoma hutochoka kuitazama, nashindwa niandikaje ili uelewe kua namaanisha ni ya moto
GOTOya ntajieni series yenye kwichkwichi
Me mwenyewe niliachia njian sikuielewa kabisa. Series ya kiboya sana.aah!!aise hiyo series nilishindwa hatakumalizia.ni ovyo ila ni kwa maoni yangu..haiwezekani the source ya kutatuwa matatizo ni mmoja tu bila yeye mambo hayaendi.....ni sawasawa na series ya "BLINDSPOT" haziendani na uwalisia kabisa yan
Homeland ni series moja hatari sana, kwa upande wangu huwa narudia nikikosa cha kuangalia. Nyingine ni
THE LAST SHIP
QUEEN OF THE SOUTH
PRISON BREAK
Naomba mualiko siku moja tuirudie wote ingawa bado sijaimalizaHomeland ni series moja hatari sana, kwa upande wangu huwa narudia nikikosa cha kuangalia. Nyingine ni
THE LAST SHIP
QUEEN OF THE SOUTH
PRISON BREAK
Kuna marine mmoja (Nicholas Brody) jamaa ni mmarekani alitekwa na kiongoz mmoja wa kigaidi ule uislam wa kibabe wenyewe baada ya miaka 8 akaenda kukombolewa na Wamarekani sasa kuna cia mmoja mdada akawa anahisi jamaa katumwa na uyo gaidi kuiba siri za marekani na kuzituma huko alikokua ametekwa maana jamaa Brody alikua amesilimishwa amekua muislam pia walitekwa wawili halafu akarudi jamaa peke yake lakini katika upelelezi huyo cia aka follow in love na jamaa hadi akapta mimba ya jamaa so ikafika hatua huyo cia akawa ni kama yupo upande wa jamaa akawa anamsaidia kwenye michakato mingi mfano hadi alimtorosha Brody kisa mapenzi, kisa ndio kipo hivo ingawa mbele visa vingine zaidi vinaongezekaHome land inahusu nini ???
Naomba mualiko siku moja tuirudie wote ingawa bado sijaimaliza