Ragnar Fluke
JF-Expert Member
- May 22, 2012
- 374
- 115
Hawa jamaa ni mbwa sana...mimi kwa ufupi wamenikera mpaka sasa hivi..Waandaji wa Game Of Thrones Wamepanga Kukaa Nje Kabisa Ya Mji...
-
Waandaaji wakuu David Benioff na D.B.Weiss wamesema Wana mpango wa kuondoka nje kabisa ya mji wanaoishi na kukaa nje ya mitandao pia ili wasisikie maoni ya watu baada ya mchongo huo kumalizika.
-
Wanasema Mwisho wa Season 08, Unaweza kuwakera watu wengi sana...Hivyo hawataki kero za watu zije ziwaathiri hadi wao.
-
C&P
Dah nmeona the brave hapo...sema walizingua kuikatisha!Wakuu mnatumia app gani kushusha series za zaman.Naona popcorn inazinguaView attachment 1098096
Mkuu napendelea app ambayo nashusha mzigo directDah nmeona the brave hapo...sema walizingua kuikatisha!
Mkuu kama ni torrent downloads tumia 1337x.to
Cinema HD ,,inapatikana googleMkuu napendelea app ambayo nashusha mzigo direct
Na hainaga Ads yan unabrows smoth bila pop up ads km ni korea unapata na directing link ya kudownload subtitle zake this is u'r webKm unahitaji muv za kizungu China Korea india na whole world katika hd version 480 720 na 1080 bila kusahau series zote za kikorea na kizungu tumia hii Web hutajutia hayo ma App sometimes Yanazinguaga
www.lightdl.xyz
Tembelea todaytvseries2.comWakuu mnatumia app gani kushusha series za zaman.Naona popcorn inazinguaView attachment 1098096
For sure hii kitu iko sawa sana.Kwa sasa wacha nitumie hii.easy and simple.thanks mkuuNa hainaga Ads yan unabrows smoth bila pop up ads km ni korea unapata na directing link ya kudownload subtitle zake this is u'r web
U'll thank Me later
NI taste mbili tofauti lakini zote ni kali kulingana na eneo lake! Nadhani The Wire ipo juu zaidi, hususani kama unapenda series za mtaa; ni aina fulani ya Power lakini the Wire ni ya Kimtaa zaidi kiasi kwamba wakati mwingine mtu anaweza kuongea na usimuelewa kwa sababu wanapiga ile lugha ya mtaa kabisa!Hivi wadau kati ya Homeland na The Wire ni ipi kali zaid!??. Natafuta series ya kuangalia ndio najiuliza kuhusu hizi mbili. Homeland VS The wire
Director au Waandishi?! Kwanza kuna petition huko inaendelea na hadi kesho nadhani itafikisha saini 1M!Huyu director wa GOT inabidi apelekwe mahakamani ...kaniboa kinomaa
Naona watu wame-mind character ya Dan kuwa completely destroyed, to the point inaonesha hafai tena kuchukua The Iron Throne! Na kwa lile tukio, I doubt hata kama Jon Snow ataendelea kumwachia lile taji huku Arya na yeye nikimuona kabisa akipiga mahesabu ya kumuua yule Dragon aliyebaki!Unaongelea hii episode ya 5 au? Hyo plot twist mi nimeipenda sana, story nzuri haitakiwi iwe inatabirika sema Cercie na Euron Greyjoy wamekufa kizembe sana!
Naona watu wame-mind character ya Dan kuwa completely destroyed, to the point inaonesha hafai tena kuchukua The Iron Throne! Na kwa lile tukio, I doubt hata kama Jon Snow ataendelea kumwachia lile taji huku Arya na yeye nikimuona kabisa akipiga mahesabu ya kumuua yule Dragon aliyebaki!
PoapoaFor sure hii kitu iko sawa sana.Kwa sasa wacha nitumie hii.easy and simple.thanks mkuu
kakuboa nini tena??Huyu director wa GOT inabidi apelekwe mahakamani ...kaniboa kinomaa
lete source ya hiki ukisemachoWaandaji wa Game Of Thrones Wamepanga Kukaa Nje Kabisa Ya Mji...
-
Waandaaji wakuu David Benioff na D.B.Weiss wamesema Wana mpango wa kuondoka nje kabisa ya mji wanaoishi na kukaa nje ya mitandao pia ili wasisikie maoni ya watu baada ya mchongo huo kumalizika.
-
Wanasema Mwisho wa Season 08, Unaweza kuwakera watu wengi sana...Hivyo hawataki kero za watu zije ziwaathiri hadi wao.
-
C&P
Erik heller mafia sana.kafa mapema sijui itakuaje mbele wakina hanna na 249 au clara na marisaHanna iko poa....I liked the story.