Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,138
Yawezekana mkuu, sema ngoja nifanye mpango wa kutafuta halo naskia iko fasta zaidi. Voda mizinguo sana.basi mtandao wako eneo hilo sio rafiki mimi natumia halotel unlimited hadi sa12 asubuhi nafanya kuzipanga tu kwenye IDM nikiamka zimeshamaliza zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hakuna way ya kuingia direct moja kwa moja? Kila mara nikiingia lazima kwanza nikutane na "verify yor not robot" mapicha picha flan yanakuja.mkuu kama unaijua jina unacheki tu kwenye list hapa wanazipanga alphabetically
nashauri kama unatumia simu wezesha desktop site View attachment 1053579
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hakuna way ya kuingia direct moja kwa moja? Kila mara nikiingia lazima kwanza nikutane na "verify yor not robot" mapicha picha flan yanakuja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaap niliishia ya 3 ngoja niifukue tenaSeries kama the Blacklist haitakiwi kuwa na Mwisho kabisa, ile series ni nuksi, imekaa kijasusi sana, vitu vingi sana unaweza kujifunza kupitia ile series, James spade (Raymond Redington ) kaicheza vizuri sana ,japo kifo cha Elizabeth keen kilihalibu sana mwendelezo Wa ile series, kwa yeyote ambae hajawahi kuona hii kitu anasitahili aitafute na kuicheki mwanzo mwisho, Imejaa ujasusi Wa kutosha, Ukiipata ifuatilie kwa umakini sana utaelewa nachomainisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
E10 tayari outInto the badlands imekaa muda sn mpk nlisahau iliishaje lkn episode 9 imeisha vzr ngoja tusubiri 10
Vp tayr?Mzee mwenzangu inaendelea hii series, kesho tarehe 24 March S03E09
Shukrani mkuu,mimi natumia CyberFlixTv muda mwingi,naona wapo vzr kuanzia kudownload na kuwa update,CyberFlix imekuwa mbadala baada ya Terrarium Tv kuzingua
Poa ngoja niitafutie muda wakeIko poa mkuu
Bado hawajaachia kwani hivi season one ina episode ngapiMkuu m nafuatilia nilichek mwaka janaa vp season 2 washaanza kuiachia??
Sent from my iPhone using JamiiForums
bado yupo
Kwel mkuu, nimeipakua naona haina tofauti na terrarium kabisa, shukran sana.Shukrani mkuu,mimi natumia CyberFlixTv muda mwingi,naona wapo vzr kuanzia kudownload na kuwa update,CyberFlix imekuwa mbadala baada ya Terrarium Tv kuzingua
Asante mkuu..Kwel mkuu, nimeipakua naona haina tofauti na terrarium kabisa, shukran sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Terrarium Tv imezingua sasa hv kuna CyberFlix Tv,,haina tofauti na Terrarium Tv,download google ufurahie maisha.
Hapo tupo sawa... niliishia season ya 4 ..nikitarajia labda itabadirika... jamaa serikali yeye inamhitaji, majambenga yupo sasa unaangalia nini ,...Hii series niliacha kuangalia baada u kuona jamaa mmoja kamaster kila kitu yaani yeye ni jambazi, detective yeye, Jack of all trade
Sent using Jamii Forums mobile app