Wadau mimi bhana nmechek series nyng na kutokana na aina ya series ninazopenda sahv niko empy naomba mdau aweke mzigo hapo kama nitakua sijauona nitembee nao....natanguliza shukrani

Punisher season tu nitofauti sana na season one,hii season 2 ipo njema mara kumi zaid ya season One.. Ila ukitaka uzifaid na ujue kisa chote anzia tu One.